chonde wakuu!

chonde wakuu!

gwambala

Member
Joined
Mar 10, 2010
Posts
60
Reaction score
2
samahani wakuu mwenye video au sauti ya sera za mgombea wetu wa igunga kupitia updp awakilishe tafadharini,nimependa zile sera za pawa tila,mpango kutoka yugoslavia na nyinginezo zisizotekelezeka alafu ijadiliwe kwa umakini
 
Wasiliana na clouds wameicheza tena leo! nafikiri hata wengine huku ndani wanayo, subiria
 
yeah itakuwa nzuri kama tutaipata humu,clouds mlolongo mkuu
 
mmh kilaza anavyojinanihiuuu sina hakika naye kama atatoa hiyo kitu
 
Back
Top Bottom