Chonde chonde wabunge wangu wa CHADEMA

Ikiwa bado siku 5 kuanza kwa bunge la bajeti, ni masikitiko makubwa kwa wakazi wa majimbo ya
1. Kawe,
2. Mbeya Mjini
3. Hai
4. Nyamagana
5. Ubungo,
6. Singida Mashariki

Wabunge wa majimbo husika wameshindwa kukutana na wananchi ili kupata maoni yao kuyafikisha bungeni BADALA yake wametumia pesa na marupurupu yatokanayo na ubunge kufanya mikutano ya chadema nje ya majimbo yao.
Tafadhali wabunge wa majimbo niliyoyataja geukeni nyuma na kukumbuka nyinyi ni wawakilishi wa wapiga kura ambao mnatakiwa kuweka mbele mahitaji ya wapiga kura. BADILIKENI mtumikie wana jimbo wenu!!

Kila siku twawasikia kiguu na njia mara Mtwara, Masasi, Newala wakati Sugu ukitamba Dar Live badala ya kupita maeneo ya Mwanjelwa, Soweto, masite nk. kuongea na wapiga kura; HIYO NI HAKI, MTAFAKARI!!!

No research no right to speak. Temelea blog ya Mbeya yetu kisha ujipange upya. Gamba wewe.
 
Wewe ni mn'iaa mkubwa, yafaa ufungwe jiwe la kusagia shingoni na kutoswa kwenye kina kirefu cha maji.
 
ila unapaswa uelewe kuwa system ya CCM ni tofauti sana na vyama vingine, wana hadi mabalozi wa nyumba 10, kwa hiyo mfumo wa mawasiliano wa hiki chama ni tofauti na vyama vingine.

Mkuu Tume ya katiba mfumo wa mabalozi wa nyumba 10 unatumiwa pia na CHADEMA. Kuna kijiji kinaitwa Magamba kipo Wilaya ya Mbozi,kina mabalozi wa nyumba 10 kutoka CHADEMA. Na mfumo huo unaonekana kuvivutia vijiji vya jirani kama Isansa,Iwalanje,Mtunduru na Igamba.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tume ya katiba mfumo wa mabalozi wa nyumba 10 unatumiwa pia na CHADEMA. Kuna kijiji kinaitwa Magamba kipo Wilaya ya Mbozi,kina mabalozi wa nyumba 10 kutoka CHADEMA. Na mfumo huo unaonekana kuvivutia vijiji vya jirani kama Isansa,Iwalanje,Mtunduru na Igamba.

Asante Nzi, kwa kukiri kutumia taratibu za CCM katika chama chenu.
 
Last edited by a moderator:
Tume ya katiba acha masihara, we unajulikana ni gamba damu damu au unataka kuniambia ADC ni chama tawala pamoja na ccm au ADC wanaisapoti ccm au ADC ni ccmF
 
Back
Top Bottom