Chonde chonde ulevi noma!

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Kuna mshkaji alirudi usiku akiwa amelewa chakali. Alipofika chumbani alikuta mke wake keshalala fofofo ile kuangalia pembeni akaona glass ina kimiminika cha njano ndani yake. Jamaa akajua moja kwa moja ni bia. Akanyanyua glasi akakinyonya kimiminika fasta, du! Akagundua kimiminika kina ladha ya chumvichumvi, akamuamsha mke wake kwa gadhabu akamuuliza "kwenye glasi uliweka nini?" Mke kwa kujihami, badala ya kusema mkojo aliokojoa akasema "nilichanganya maji ya bahari na CASTLE LAGER!" MME wake akasema usirudie tena, nilidhani ni mkojo.
 
mama anafikiri haraka huyo kama Messi akiwa uwanjani. Angekula kisago cha mwaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom