crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,322
- 2,204
Pasco lazima ukumbuke kitu kimoja shauri la Zanzibar mara hii lipo tofauti na miaka yote. Mara hii jumuia ya kimataifa haipo pamoja na ccm juu ya uamuzi wao wa kumlazimisha Jecha kufuta uchaguzi.
Mataifa yameweka macho yake kwa Magufuli...hatua yoyote atayo chukua kuzui mfano maandamano na watu wakapotea basi lawama zipo kwake hivyo ksiasa na kidiplomasia alitakiwa angalie ipepo lakini siasa za kuburuzana na kujidai kutumia nguvu kuna uwezekano akajiharibia.
Yeye alitakiwa alione hili kama majipu mengine alorithi kutoka tawala zilizo pita na moja katika mambo muhimu kuyamaliza kwa haki. Lakini kusema nitanyamaza , na kama watu wakidai haki yao hata kwa msuso basi atawashughulikia ...kuna walakini na sio busara wala sio uongozi ...sasa sio dunia ya kutumia nguvu..tumeona juzi Salva kiir akikubali pressure ya dunia...
Bado anao wajibu wa kuonesha uongozi ..kukimbia tatizo ni weakness kumwa saana