Kimsingi Zanzibaris must suffer peacefully majumbani kwao?Ukipinga ukakaa ndani mwako kimya hakuna tatizo, lakini ukiingia mtaani na kuhamasisha na wengine kuchafua amani, hiyo ni fyoko fyoko.
Mkileta mchezo Magu hana mchezo ata watandika.Kwa nini anawatisha wakati kasema hilo hawezi kuliingilia?
Kwa nini asiwaachie wazanzibar walimalize wenyewe sasa,vitisho vya nini kwa suala lililojuu yake kimaamuzi?
Afrika lazima tuwarudishe wakoloni ili watutawale tena.....
Mpaka tupate uhuru wa kusema, hili ndiyo na hili hapana na si kuamliwa na viongozi ambao ni waajiriwa wetu! Lazima viongozi hawa watambue sisi ndo tumewaajiri!
Wao wapige tu hata Libya alisema hivi hivi...pigeni.....halafu jumapili mnakuwa mbele karibu na padre na Ijumaa kanzu nyeupeeee! jamani...Neno haki ni rahisi kweli kulitamka..lakini kulisimamia ni zito kama kubeba mlima....
Fyoko...pigeni......
Huyu MUNGU ataona mengi mwaka huu......
Kazi yake si kuingilia siasa za zanzibar bali ni kuhakikisha watanzania wote wako na amani na mipaka yote inalindwa na atakaye leta fyoko fyoko atatandikwa.Si alisema haingilii siasa ya zanzibar? Sasa anawatisha ili iweje? wawaache wazanzibar watafute haki yao. Kutumia mabavu kunaweza leta maafa makubwa
Mlizoea kuwaita watu dhaifu eeeh! Mkileta fyoko fyoko mtatandikwa kabisa....Ukweli utabaki magufuli hafai na wanaipeleka tz kubaya na anaiabisha tz na hatofanikiwa hilo analo taka kuwadanganya watu kama hakupewa msaada na jumuia ya kimataifa hawezi kuendesha nchi na letu hicho tutaona
Mtatandikwa!Maneno mazur ameongea, ss ambao hatuogopi kutismwa tunaelekea somalia kumalizia masomo yetu, byebye Tanzania we will be back soon inshallah
Mkuu Zanzibar kumejaa wachumia tumbo na ndo hao hao wanajidanganya kuwa Zanzibar ni nchi....Nimeamini Zanzibar siyo nchi,ni mkoa tuu ndani ya Tanzania.Sioni maana ya kuwa na rais wa zanzibar.Bora ateuliwe mkuu wa mkoa zanzibar
Uko serious mkuu?.. Japo siafiki njia mnayotaka kutumia kudai Haki, lakini naamini ndiyo njia pekee ilobaki...Maneno mazur ameongea, ss ambao hatuogopi kutismwa tunaelekea somalia kumalizia masomo yetu, byebye Tanzania we will be back soon inshallah
Ishu ya mipaka ni tofauti na zanzibar. Hiyo ni ishu ya wizara ya mambo ya ndani. Sasa yeye kama nani kuwasemea wazanzibarKazi yake si kuingilia siasa za zanzibar bali ni kuhakikisha watanzania wote wako na amani na mipaka yote inalindwa na atakaye leta fyoko fyoko atatandikwa.