Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,689
- 119,326
Wanabodi,
Baada ya lile tangazo la jana la Amiri Jeshi Mkuu wa nchi yetu, Dr. John Pombe Magufuli kumhusu yoyote atakayete fyoko fyoko popote alipo!.
Natoa wito kwa ndugu zetu Wanzibari, Chonde Chonde msilete fyoko fyoko!, upole, cheko cheko na bashasha za Jakaya Kikwete, zimetuponza Tanzania kama taifa, tukajiachia na kujisahau sana hadi kila siku kuleta fyoko fyoko na hakuna chochote ambacho kilifanyika!.
Magufuli sio Kikwete, jana katoa amri watu wasilete fyoko fyoko, ni kweli Watanzania katika umoja wetu tuitunze, tuienzi na kuithamini amani na utulivu uliopo, tusilete kabisa fyoko fyoko za aina yoyote!.
Naomba kukiri nimepandisha uzi huu kwa msipiration nilioipata kwenye mchango wa mwana jf huyu..
Dawa ni moja tuu kwa Wanzanzibar, baada ya kumsikia Amiri Jeshi Mkuu akiwaonya msilete fyoko fyoko, hili sio ombi ni amri, hivyo msilete fyoko fyoko!.
Tena mwamba huu ndio utaimarisha muungano wetu adhimu kwa kuzifuta kabisa fyoko fyoko zote za kuuchokoa muungano wetu kwa kwenda kwenye serikali moja!.
Pasco

Magufuli atapeleka majeshi Zanzibar kwenda kusimamia amani na utulivu, ikitokea majeshi yakaua mtu, itakuwa mtu huyo ameleta fyoko fyoko!. Mtu akileta fyoko fyoko atashughulikiwa kikamilifu!. Ikitokea wengine wasi na hatia wakadhurika katika kututuliza hizo fyoko fyoko, then aliyesababisha madhara hayo ni muanzisha wa fyoko fyoko na sio mtulizaji au mdhibiti wa fyoko fyoko!.Ukweli utabaki kua kweli na iko siku atakua ukweli hawezi kuingilia ya Zanzibar ataingilia ya Burundi Congo tusubiri tutaona dunia itamuangalia tu mwache apeleke majeshi akaue watu wasio na hatia atakuja jua baadae viongozi asokua na hikima wala busara alicho ongea kimeeleweka