Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,452
- 4,577
JMT = TANGANYIKA + ZANZIBARTanzania ni nchi moja ya JMT!.
Pasco
JMT = TANGANYIKA + ZANZIBARTanzania ni nchi moja ya JMT!.
Pasco
Gharama ya kutawala Zanzibar ghali jeshi mmoja kwa Wanzazibari wawili believe me gharama itapanda astronomically siku si nyingi. Siyo Mimi ni kanuni za historia.Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo JWTZ kutapakaa Zanzibar yote ni halali!. Utaikaliaje kijeshi nchi yako mwenyewe!.
Wanzanzibari siku zote wanaongea as if Zanzibar ni nchi!.
Zanzibar sio nchi!, ndani ya set up ya Muungano Zanzibar ni kama Lindi tuu au Singida!.
Pasco
Nakumbushia tuu kuhusu watu kuleta fyoko fyoko, japo bandiko la msingi lilikuwa ni kuhusu za Zanzibar, Chadema na operation UKUTA, inataka kumchokoza dikiteta!, watu mmeishajua kabisa pasi shaka kuwa jamaa ni dikiteta!, bado mnathubutu kumchezea kwa kutaka kuleta fyoko fyoko?!.Wanabodi,
Baada ya lile tangazo la jana la Amiri Jeshi Mkuu wa nchi yetu, Dr. John Pombe Magufuli kumhusu yoyote atakayete fyoko fyoko popote alipo!.
Natoa wito kwa ndugu zetu Wanzibari, Chonde Chonde msilete fyoko fyoko!, upole, cheko cheko na bashasha za Jakaya Kikwete, zimetuponza Tanzania kama taifa, tukajiachia na kujisahau sana hadi kila siku kuleta fyoko fyoko na hakuna chochote ambacho kilifanyika!.
Magufuli sio Kikwete, jana katoa amri watu wasilete fyoko fyoko, ni kweli Watanzania katika umoja wetu tuitunze, tuienzi na kuithamini amani na utulivu uliopo, tusilete kabisa fyoko fyoko za aina yoyote!.
Naomba kukiri nimepandisha uzi huu kwa msipiration nilioipata kwenye mchango wa mwana jf huyu..
Magufuli atapeleka majeshi Zanzibar kwenda kusimamia amani na utulivu, ikitokea majeshi yakaua mtu, itakuwa mtu huyo ameleta fyoko fyoko!. Mtu akileta fyoko fyoko atashughulikiwa kikamilifu!. Ikitokea wengine wasi na hatia wakadhurika katika kututuliza hizo fyoko fyoko, then aliyesababisha madhara hayo ni muanzisha wa fyoko fyoko na sio mtulizaji au mdhibiti wa fyoko fyoko!.
Dawa ni moja tuu kwa Wanzanzibar, baada ya kumsikia Amiri Jeshi Mkuu akiwaonya msilete fyoko fyoko, hili sio ombi ni amri, hivyo msilete fyoko fyoko!.
Pasco
Waache,simba hashikwi sharubuNakumbushia tuu kuhusu watu kuleta fyoko fyoko, japo bandiko la msingi lilikuwa ni kuhusu za Zanzibar, Chadema na operation UKUTA, inataka kumchokoza dikiteta!, watu mmeishajua kabisa pasi shaka kuwa jamaa ni dikiteta!, bado mnathubutu kumchezea kwa kutaka kuleta fyoko fyoko?!.
Pasco
Kama ni kweli CUF ndio wameshinda chaguzi zote nne za vyama vingi Zanzibar, then hii inamaanisha siku zote CUF inashinda lakini CCM ndio inatangazwa mshindi!.Pasco,
Katika miaka 24 ya vyama vingi CUF imeweza kujenga ''mtambo wa kupiga kura''
(election machinery) madhubuti na wa kuaminika.
Mtambo huu wa kupiga kura umeweza kushinda chaguzi zote nne bila matatizo
yoyote.
Huu ni mwamba usiweza kuvujwa kirahisi.
CCM Zanzibar haina pa kupumulia.
Ikifika mahali chama hakiwezi kushinda uchaguzi ila kwa kutegemea nguvu na vitisho
jua siku zake zinahesabika.
Nakumbushia tuu kuhusu watu kuleta fyoko fyoko, japo bandiko la msingi lilikuwa ni kuhusu za Zanzibar, Chadema na operation UKUTA, inataka kumchokoza dikiteta!, watu mmeishajua kabisa pasi shaka kuwa jamaa ni dikiteta!, bado mnathubutu kumchezea kwa kutaka kuleta fyoko fyoko?!.
Pasco