tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,478
hiyo ni kweliAisee Mkuu asante sana kwa video hii ,halafu cha ajabu huyu sasa hivi ndie mastermind wa kinachoendelea Zanzibar ,sijui tutegemee nini
hiyo ni kweliAisee Mkuu asante sana kwa video hii ,halafu cha ajabu huyu sasa hivi ndie mastermind wa kinachoendelea Zanzibar ,sijui tutegemee nini
pointPasco mzee wangu nakulewa sana bandiko lako lkni najua unamkaanga huyo mropokaji, hajui madhara ya kauli zake za fyoko fyoko. akishauriwa na mkapa naye achanganye na zake hii ni karne ya 21 majeshi na polisi hawaogopewi aulize Libya,tunisia na Egypt watawala walikuwa na nguvu kama malaika leo wako wapi?
Hofu iko wapi Pasco, ulinzi upo na wakisusia kwenda kuchagua ZEC itawatangaza kuwa washindi, hata ukisusia uchaguzi ukijikuta umechaguliwa kuwa makamu wa kwanza wa rais, unaitwa kuapishwa na kusindikizwa kwenda kuapishwa? Hata wale masheha wa CUF watapitishwa na kuitwa kuwa masheha wateule, wasipojitokeza kuapishwa posho itaingizwa kwenye a/c zao kama kawaida, na makamu wa kwanza wa rais naye atapewa ulinzi na kupigiwa salute za kiitifaki hata asipokanyaga ofisini.Wanabodi,
Baada ya lile tangazo la jana la Amiri Jeshi Mkuu wa nchi yetu, Dr. John Pombe Magufuli kumhusu yoyote atakayete fyoko fyoko popote alipo!.
Natoa wito kwa ndugu zetu Wanzibari, Chonde Chonde msilete fyoko fyoko!, upole, cheko cheko na bashasha za Jakaya Kikwete, zimetuponza Tanzania kama taifa, tukajiachia na kujisahau sana hadi kila siku kuleta fyoko fyoko na hakuna chochote ambacho kilifanyika!.
Magufuli sio Kikwete, jana katoa amri watu wasilete fyoko fyoko, ni kweli Watanzania katika umoja wetu tuitunze, tuienzi na kuithamini amani na utulivu uliopo, tusilete kabisa fyoko fyoko za aina yoyote!.
Naomba kukiri nimepandisha uzi huu kwa msipiration nilioipata kwenye mchango wa mwana jf huyu..
Magufuli atapeleka majeshi Zanzibar kwenda kusimamia amani na utulivu, ikitokea majeshi yakaua mtu, itakuwa mtu huyo ameleta fyoko fyoko!. Mtu akileta fyoko fyoko atashughulikiwa kikamilifu!. Ikitokea wengine wasi na hatia wakadhurika katika kututuliza hizo fyoko fyoko, then aliyesababisha madhara hayo ni muanzisha wa fyoko fyoko na sio mtulizaji au mdhibiti wa fyoko fyoko!.
Dawa ni moja tuu kwa Wanzanzibar, baada ya kumsikia Amiri Jeshi Mkuu akiwaonya msilete fyoko fyoko, hili sio ombi ni amri, hivyo msilete fyoko fyoko!.
Pasco
Unajidanganya tangia hiyo haki ichukuliwe mbona haujafa? Unafikiri kufa ni sawa na kulala au kununua chips?Ni bora kufa nikipigania haki yangu!!
Mkuu acha hizo bhana! Katiba ya JMT, Aya ya kwanza ya tafsiri ya Jina la Tanzania umeisoma? Singida ina rais? Singida ina katiba yake? Singida ina baraza la mawaziri?Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo JWTZ kutapakaa Zanzibar yote ni halali!. Utaikaliaje kijeshi nchi yako mwenyewe!.
Wanzanzibari siku zote wanaongea as if Zanzibar ni nchi!.
Zanzibar sio nchi!, ndani ya set up ya Muungano Zanzibar ni kama Lindi tuu au Singida!.
Pasco
Tanzania ni nchi moja ya JMT!.Mkuu acha hizo bhana! Katiba ya JMT, Aya ya kwanza ya tafsiri ya Jina la Tanzania umeisoma? Singida ina rais? Singida ina katiba yake? Singida ina baraza la mawaziri?
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo JWTZ kutapakaa Zanzibar yote ni halali!. Utaikaliaje kijeshi nchi yako mwenyewe!.
Wanzanzibari siku zote wanaongea as if Zanzibar ni nchi!.
Zanzibar sio nchi!, ndani ya set up ya Muungano Zanzibar ni kama Lindi tuu au Singida!.
Pasco
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo JWTZ kutapakaa Zanzibar yote ni halali!. Utaikaliaje kijeshi nchi yako mwenyewe!.
Wanzanzibari siku zote wanaongea as if Zanzibar ni nchi!.
Zanzibar sio nchi!, ndani ya set up ya Muungano Zanzibar ni kama Lindi tuu au Singida!.
Pasco
Kaka nenda kasome kitabu kinaitwa kwaheri Uhuru, Kwa heri ukoloni utapata upande wa pili wa shillingi wa mapinduzi ya Zanzibar na utajifunza kituHAPA WAKUMLAUM KARUME ALIMPINDUA SURUTANI BADARA AONGOZE MWENYEWE AKAWAKABIZI WATANGANYIKA, WAMENG'ANG'NIA KAMA KUPE