Chonde chonde, mimi nawataadharisha mapema!

Chonde chonde, mimi nawataadharisha mapema!

Yanaitwa mapenzi ya ulimbukeni kudhani wewe wa kwanza na wa mwisho kupenda na kupendwa....Hamna jinsi lazima kuumizwa ili akili ianze safari mpya....
Kuna kijidemu kiliniingiza mjini aisee nikikumbuka nazidi kupatwa na hasira za kuwa kauzu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom