wewe si ndie yule fisadi wa kisiasa, in english you are "political prostitute" hivyo kweli una sauti ndani cdm, wewe si umewauza wenzako kwa kuwasingizia. Wacha kumtukana rais wetu, aliye kupa uhuru wakuweza kuaandamana na kuropoka ovyo, enzi ya mkapa wewe si ulikuwa unatawa.
maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?WACHA NIDHAMU YA WOGA
Huu ni MWAKA WA NGUVU YA UMMA.
Halafu sipendi hii kauli ya nchi bado changa, yaani miaka 52 ya uhuru bado ni masikini na bado ni wachanga tu?
mtoto aliyezaliwa 1961 kwa sasa ana mjukuu ila we utamuona bado ni mchanga tu?
Musa angemtii Farao asingewakomboa Wana wa Israeli
Biblia inamasema "Tiini mamlaka inayowazidi ngivu"
Sasa tangu lini jeshi likaishinda Nguvu ya Umma?
Serikali ndiyo inapaswa kuutii Umma kwa kuwa Umma una nguvu kuliko serikali.
Nisubiri naoga na mama toto wako Huku
Mbona ananiambia wewe ni mcameron kama mwenyekiti wa nccr manunuzi nikama joka la kibisa tuSawa, nakusubiri lakini angalia msisagane.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mbona ananiambia wewe ni mcameron kama mwenyekiti wa nccr manunuzi nikama joka la kibisa tu
Amani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..
Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!
Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri
mkuu SPIKA anafuata kanuni huwezi unalotaka wewe litendeke bila kuzingatia maslahi ya umma pamoja tujenge chama chama hujengwa kwa hoja si maandamano
Tunapambana na mkoloni mweusi.Hatutaki kutawaliwa,tunataka kuongozwa.....!
Ungetumia nguvu hizi unazotumia hapa kumtaka au kumshinikiza Spika kutenda haki na utawala dhalimu wa CCM kusikiliza matakwa ya umma ili yasitokee hayo ya Misri kama ndiyo yanyaokutisha
Nina hofu na utaifa wako,ninahisi we si mtanzania!!na kama ni mtanzania ni miongoni mwa wale mnaotunyonya kama kupe,,na unajaribu kututisha ili tusikunyime usingizi.But all in all nakuhurumia na mlishachelewa,,kwa tanzania ya sasa na inapoelekea ya misri hayaepukiki tena Tanzania ndugu yangu,,,lakini kwani wasiotaka maandamano wamelazimishwa kuandamana???TUACHIENI WANYONGE TUANDAMANE NA TUFE KWA AJILI YENUkaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
hahaha mkuu MMU tena wewe na huko wapi na wapi???Haahaaahaaaaa! Wewe utatufaa sana MMU. Amekwambia hivyo ili usinikubali, anawivu sana huyo mama watoto wangu.
Nyie ogeni kwanza halafu twende MMU. Mengine tutaongea vizuri baada ya kufahamiana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwani kuna aliyelazimishwa maandamano nchi hii???we endelea kushushia kinywaji chako kwenye hilo ghorofa lako hujalazimishwa kuandamana,ebo!!!maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?
Ameniambia yeye ni mwanachama hai wa chadema ila wewe unamuwekea usiku na magamba wenzio kwahiyo Huku sitoki ili kumridhisha mama watoto wakoHaahaaahaaaaa! Wewe utatufaa sana MMU. Amekwambia hivyo ili usinikubali, anawivu sana huyo mama watoto wangu.
Nyie ogeni kwanza halafu twende MMU. Mengine tutaongea vizuri baada ya kufahamiana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?
Kama unaangalia interest za utaifa tutokomezee wanaoiba meno ya tembo coz wanafahamika na wamepewa dhamana kubwa ndani ya chama cha magamba,wanaotanguliza uchama kuliko utaifa how can we deal with them tofauti na maandamano???NAKUONA KAMA MNAFIKI TUndugu yangu naangalia interest za utaifa si familia
SERIKALI YA CCM NAYO NI DHALLIMU SANA NA INAFANYA KILA YA AINA YA UDHALIMU KWA KUTUMIA MGONGO WA AMANI NA MNASAHAU KUWA AMANI NI TUNDA LA HAKI.WEWE UMETUMWA HATUNA MWANA CDM MWENYE MAWAZO YA UOGA KAMA WAKO AMBAPO KIMSINGI MTU MWOGa KAMA WEWE NI MDHAMBI MKUBWA.LALA NDANI UJIFUNGIE KABISA KESHO LAKINI WAPO WATU WALIOWATEULE WA MUNGU WATAJITOKEZA KWENDA KUWAPIGANIA WATANZANIA,MAPOKEZI YA KESHO KWA WABUNGE WETU,MASHUJAA WETU NI ISHARA YA KUWASHUKURU,KUWAPONGEZA,KUWAUNGA MKONO NA KUONYESHA TUKO PAMOJA KATIKA MAPAMBANO HAYA TOFAUTI NI MOJA KWAMBA WAO WAKO MSTARI WA MBELE NA SISI TUKO MSTARI WA MBELE NA HIYO NDIO FORMATION YA UWANJA WA VITA KWA MAJESHI.kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
Ameniambia yeye ni mwanachama hai wa chadema ila wewe unamuwekea usiku na magamba wenzio kwahiyo Huku sitoki ili kumridhisha mama watoto wako
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
endelea na mambo ya biblia utakuwa masikini