Chonde chonde BAKWATA, Msiige mkumbo Maaskofu wa KKKT, Jengo lenu halitaisha

Siku zote kauli za waislam zina mashiko. Kauli ya sheikh mmoja tu inatosha kuitikisa nchi nzima. waislam wapo kivitendo. Nyaraka na miongozo ni kazi yenu.
 
Mleta mada, Mufti akienda radio Imani akatangaza kwa sentensi moja tu kuwa "Waislamu tunakusudia kujenga jengo kwa ajili ya kitu kadha wa kadha, tunahitaji bilioni 10", hazitopita saa 24 zitapatikana hizo pesa!.
Hilo jengo ni kwa ajili ya mahusiano mema tu kati ya serikali na BAKWATA lakini haimaanishi BAKWATA ikiamua kumomibilize waislamu inashindwa kulijenga!

Mkuu Gamba la Nyoka bila kuharibu maudhui mazuri ya hiyo post yako, Je kimewashinda nini Bakwata kumobilize waisilamu miaka yote hiyo mpaka kujengewa na Makonda leo hii?
 
top 10 ya matajir tanzania ni waislam imani haoamini katika ofisi za anasa kama hizo mnazotaka kujenga .mambo ya imani hufanyikia msikitini .hayo majengo yenu wala.mungu hajaagiza
Kuna waislam na kuna bakwata, post imeongelea bakwata sio waislam. Asilimia 90 ya waislam wanaipinga bakwata na ndio maana inashindwa hata kujiendesha kwa sababu inaongoza watu wasio wakubali hivyo bakwata sio kielelezo cha uislam
 
Kwa bahati nzuri waislamu hawategemei sana misaada ya imani yao kutoka kwa wazungu, wala hawatawiliwi na viongozi NA hawa ripoti ama hawana uongozi kama wa vatican ama Buckingham.

Ndugu waislamu are very democratic and they have always rejected interference from Govt. walimgomea Nyerere alipowaundia Bakwata, NA mpaka leo haina nguvu.
Sasa mbona mada imeongelea bakwata na sio waislam na wewe unaongelea waislam instead. Hakuna maala mtoa mada amesema chonde chonde waislam msitoe waraka bali amewaonya bakwata! Ninafikili uko nje ya content
 
BAKWATA Hawana tatizo na serikali ya awamu ya tano, mambo yanakwenda bariidi na salama kama uji laini na tende kutoka maskat Oman.
Ya kaisari muachie Kaisari, wao ya kwao ya ALLAH na Mtume Muhammad(SAW).
 
Kwani radio Iman haipo? Kwanini miaka yote hakuna aliyeenda kulisema hilo neno? Sababu mumeshindwa kusema neno na mumeshindwa kujenga Ofisi, ndio maana mkasaidiwa na Paul.
Acha ujinga ww, kwaiyo miskiti ya nchi nzima hii imejengwa na serikali au uko keroro?? kama ni ofisi ya mufti hatushindwi kujenga wenyewe

Na tunaweza kuiattach katika moja ya miskiti mikubwa hapo dar, we normally dont need complications, rather complications are always brought by you other sides & the government
 
Acha ujinga ww, kwaiyo miskiti ya nchi nzima hii imejengwa na serikali au uko keroro?? kama ni ofisi ya mufti hatushindwi kujenga wenyewe

Na tunaweza kuiattach katika moja ya miskiti mikubwa hapo dar, we normally dont need complications, rather complications are always brought by you other sides & the government
Umedandia treni kwa mbele. Mimi nazungumzia makao makuu ya bakwata. Sio misikiti. Jikite kwenye hoja.
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nawaomba Sana ndugu zangu BAKWATA wasiikosoe Serikali ya Magufuli, yaani BAKWATA jifanye kama mumenyeshewa. Unaambiwa ukila na kipofu usimguse mkono. Iwapo BAKWATA Wakifanya wakikosoa Serikali kwa lolote, wajue kabisa ndo mwisho wa Jengo la BAKWATA Makao Makauu Dar Es Salaam.
View attachment 726027
Kama tunavyojua, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda, kawapa msaada wa kuwajengea BAKWATA makao makuu ya kisasa. RC Makonda kujenga makao makuu ya BAKWATA kwa bilioni 5 na milioni 80

Jengo hilo la kisasa lenye Gorofa Nne pamoja na Ground floor lina Ofisi ya Mufti wa Tanzania, Ofisi ya katibu, VIP room, kumbi za mikutano, Ofisi za wafanyakazi, ofisi za mshauri,Jiko,Vyoo, sehemu ya Kufanya Dua pamoja sehemu ya Mapokezi.

Wote tunajua Makonda hana hela za kuwajengeeni jengo.. Subirini jengo liishe ndo muanze kuikosoa Serikali, vinginevyo mtayakosa mazuri yote.
View attachment 726029
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo hilo.
Naona kigunzi kimewaingia vizuri sana mwaka huu! Mnatafuta wa kuwasaidia kukichomoa. Sisi hatuna muda huo, tuache tutafute pepo.
 
Bakwata ni kitengo cha serikali. Ukitaka kujua hilo siku bakwata waseme wana neno kwa ajili ya waislam hapo uwanja wa mkapa na PONDA ISSA aseme ana neno na waislam hapo jangwani ndio utajua bakwata ipo kwa ajili ya nani.
 
ujinga mtupu!
njaa iishie tumboni ,ikipanda kichwani ni hatari(kuna dini viongozi wake njaa imepanda kichwani)

ukweli ni kuwa hilo jengo sio makonda wala serikali waliotoa pesa,nashangaa Bakwata hawasemi ukweli

Jengo wanajengewa na wamiliki wa CITY MALL pale makutano ya bibi titi na morogoro rd kama fidia ya kutumia kiwanja chao bakwata kwenye uwekezaji.

Bashite na hao viongozi wa Bakwata kwanini wanawahadaha waumini kuwa makonda ndio amejenga? hawajiulizi mkuu wa mkoa wa mkoa
Tunajua wewe huna dini.
 
Back
Top Bottom