ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,057
- 973
Dogo mmoja alienda kujumua miwa kijiji cha mbali kidogo.Alichelewa kurudi nyumbani ivo ikabidi akalale kwa shangazi yake kijiji jirani.
Shangazi yake na mumewe walikuwa wanaishi chumba single tu ivo Dogo ilimbidi kulala chini. Mara usiku shangazi na mumewe wakaanza mambo.Mara aunt assss! assss! tamu jamaniii!
Kumbe Dogo kawasikia,si ndo akaropoka kwa kulalamika...oya aunt acheni kula miwa yangu jamani.
Aunt akamwambia mumewe...chomoa haraka mumewe wangu,hajalala bado.
Dogo akazidi kulalama...ayaaa!mnachomoa mwingine tena,jamani miwa ya biashara hiyo!