Ni uongoNajiuliza kimoyomoyo, hivi ni mambo ya kweli au mchongo?
Haya Mambo sijawahi kuyaamini, Hivi hata kwa macho ya kawaida ile mbalamwezi inaweza kuingilika, Hizi ni ligiKwahiyo ile miaka ya nyuma hawakwenda walitudanganya??
How comes saivi ndo watume chombo tu bila mtu wakat last time walishapeleka watu kabisa na wakarudi salama bin salmin??
Ni mchongo mzee babaNajiuliza kimoyomoyo, hivi ni mambo ya kweli au mchongo?