Chombo cha Orion baada ya kutua kutoka mwezini

Moja kati ya stage ambayo ni challenging sana kwa Wana anga ni stage ya re entry.. deadliest stage.. hapo if things goes wrong, in a matter of second inakuwa ni disaster
 
Kwahiyo ile miaka ya nyuma hawakwenda walitudanganya??

How comes saivi ndo watume chombo tu bila mtu wakat last time walishapeleka watu kabisa na wakarudi salama bin salmin??
 
Ha
Kwahiyo ile miaka ya nyuma hawakwenda walitudanganya??

How comes saivi ndo watume chombo tu bila mtu wakat last time walishapeleka watu kabisa na wakarudi salama bin salmin??
Haya Mambo sijawahi kuyaamini, Hivi hata kwa macho ya kawaida ile mbalamwezi inaweza kuingilika, Hizi ni ligi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom