Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 601
- 1,324
Muonekano wa chombo cha orion baada ya kurudi duniani umekuwa ni tofauti kabisa na vile kilivyokuwa kinaonekana mwanzo kabla ya kwenda huko anga za mbali
Mara baada ya kupita katika matabaka mbalimbali ya anga hewa na kupata ule msuguano mkali wa matabaka ambayo yana mgandamizo mkubwa wa hewa hupelekea chochote kile kinapita happo kuweza kusababisha msuguano baina ya chombo na matabaka hayo ya anga hewa
Msuguano ukizidi huzalisha moto mkali ambao huunguza rangi mbalimbali zilizo nje kabisa ya chombo hicho ila kikubwa cha kushukuru ni kwa material yake yenye uwezo wa kuhimili kiasi kikubwa cha joto ambayo yamewekwa kwa nje ndio yanafanya wanaanga na vifaa mbalimbali vya ndani kuwa salama muda wote
geraldchristopher1@gmail.com
Tanzaniascienceyetu
Elimuyaangazambali
Gerald