Chitchat oyeeee

Status
Not open for further replies.
Nini kimetokea, kinaendelea hapa?....sielewi...
 
Khaa!
Ona na huyu nae! Nimetoka kumkataza watu8 punde hivi asitajetaje nguo za ndani hovyohovyo wengine tuna maaleji sugu ujue! Vikitajwa tu tunahemkwa! Alaaa!
Usirudie tena!

nimefurahi kuona utupu wake live
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. Kwani huyu ana allergy na chitchat..?
 
Naona una utani na Cc....Si ulisema wewe ni against CC....Sasa nn kinakufanya ujipendekeze huku...?

Keep your enemy closer theory..
 
Khaa!
Ona na huyui nae! Nimetoka kumkataza watu8 punde hivi asitajetaje nguo za ndani hovyohovyo wengine tuna maaleji sugu ujue! Vikitajwa tu tunahemkwa! Alaaa!
Usirudie tena!
Mi nimesha simamisha hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi mtupu.... Mwanaume mzima unakuwa na mambo kama binti....!! Bado unajiita great thinker wakati unashindwa hata think kuhusu maamuzi yako binafsi....? Nani mpuuzi sasa baina yetu tunaojua tutakacho, tulio chagua C.C ama yule anayepakandia nyumbani kwake..?
 

Mwanaume wa kweli haandiki kama ulivyoandika..
 
Mwanaume wa kweli haandiki kama ulivyoandika..

Mwanaume wa kweli anakuwa kigeugeu? Mwanaume wakweli anang'ata na kupuliza? Nenda kajifikirie mara2 brother, mi nilikutazama kama mtu makini mwanzo ila umekuwa kama bendera yani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…