Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Hebu tupiamo na lugha ya Kimatumbi basi...wengine netweki haikamati kwa hii makitu ya malkia...
Ukiwa gesti vizita ulikuwa unavutiwa na kina nani hapa CC?
MadamB, Mia etc.
nimekumiss wangu
nikutege kwa lipi?
Sijui ni bishe!?