ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
Hahahahaha! Yo Yo bana! Wewe pia huwa nakuona chit chat hivyo umo ndani ya uliyoyasema.ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
Mkuu, mtu ambaye siyo bongo lala anahitaji uwepo wa bongo lala ili tofauti ionekane.
Naomba kuuliza: Ina maana Mod wetu RR ni ametuzidi wengine kwa u-bongo lala mpaka akatunukiwa u-mod?
yan wewe ndio bongolala kabisa coz uko chit chat na unawaponda wanachit chat...umesahau kuwa kuna muda wa siasa na story...think bigndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia sana jukwaa la Chit - Chat na Siasa nikagungua faida nyingi za jukwaa la Chit - Chat VS Siasa kama ifuatavyo;
1. Jukwaa la Chit - Chat halina malalamiko kuwa uzi wangu umefutwa au umetupwa kapuni, umeunganishwa na fulani kwa kigezo cha mada kufanana na aliyewahi kupost kwa sababu mada zake hata kama zinafanana MoDs hawajali sana kwikwi kwikwik heeeeh!!!!!! Mfano mtu akianzisha post kama "Mtalaka hatongozwi" na mimi nikasema "Kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa" siasa utakuwa utata, chit chat tambarale kabisa!!!!
2. Ni vyepesi sana kuwa maarufu JF kupitia Chit - Chat kuliko siasa, kifupi kama ni kutoka siasa inabidi uwe na msuli wa kutosha kweli.
3. Kugongewa like kwenye Chit Chat ni rahisi sana kuliko kwenye siasa. Kwenye siasa inabidi uwe ume convince watu kwa kufanya kitu cha maana na kinachoonekana tofauti na Chit - Chat.
4. Wa Chit Chat ni chit chat na wa siasa ni wa siasa!!!! Kuna siku rafiki yangu aliniuliza Mbu sijui kawa nani hapa JF, nikajibu sifahamu kama kuna ID kama hiyo!!!!! Akashangaa sana, na mimi nikamuuliza unamfahamu Crashwise akajibu simfahamu nikamshangaa!!!!
5......
Nyingine tupieni wakuu kwa jinsi unavyoona utofauti wa majukwaa hayo mawili.
Karibuni!!!!
Ukiwa chit chat ni vigumu kupigwa ban. Teh
Tofauti kubwa kabisa ni kwamba: Jukwaa la Siasa ni Stress creator na Chit Chat ni Stress reliever... Ingawa yanafanya kazi kwa ushirikiano