Chit - Chat member mpo wapi

Jamaaa unapendwa kama paka kwa mchawi
Hivi hujaona@sweetlady kasema hata ikibidi kuiuza nyumba ya urithi kwa ajili yangu atauza?
hapo bado Kipipi wangu hajaja mwenyewe...mi siwezwi meeen!
 
Last edited by a moderator:
Naona mambo muswano sasa . . . .au sio??

Dah mambo waaaaa Kipipi
Eti haka kajamaa kananambia kanataka kuja kunipa dhamana nkamwambia wewe upo tayari kuuza hata ile hotel yako kule Kigamboni anabisha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…