Chit - Chat member mpo wapi

Mie pia mekumiss sana Mr Rocky , bado nna ndyofu zako tatu hapa, nambie unapatikana wapi nizilete chapu!

Kukuchunia wewe itakuwa ngumu bana, wewe mwenyewe wajua na moyo wako ni shahidi .

sweetlady si unajua tunapokutana kwa ajili ya mazoezi ya kwaya
Kamu zis wei bana twende zetu mazoezi ya kwaya
Mekumiss mpaka natetemeka aise
Achana na Erickb52 mzee wa majungu karibu jana angelala central police ya kati kama sio msaada wa Tchort
Erickb52 familia na kifamilia zaidi aise niko mitaa aise wapi wewe
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky sasa hivi alitakiwa awe na Dena Amsi lakini cha ajabu amekazana tu kujungua jungua.
Sijui hajistukii???????

Kipipi mambo dear
Mekumiss wewe kama kuku na kifaranga
Dena Amsi sikukuu yake ilikuwa jana na leo mchana usiku huu natakiwa kuwa free kidogo naenda mazoezi ya kwaya na sweetlady
Tuna wimbo mpya wa kufanyia kazi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…