Siku hizi kila kitu ni mali...tumepewa tuvitumie!!!Watu kweli mnajua ku 'yutilaiz' resources aisee
hahahaha....umeona eeh!!! lolinawezekana kweli aisee, si ajabu huwa linai complement dushelele ati!
mzee unanikokea moto? Muulize Mamndenyi habari yangu.Halafu kumbe Cantalisia alikupimwaga?
Wivu unawasumbua tu,unajua shetani hapend kuona jamii inapendana,wameoana,wanacheka,...Inafikia hatua mtu akienda mkoa mwingine watu wanakutana kwa kufuraha bila wasiwas,mtu akifiwa watu wanafika msibani.Yote hayo ni sababu ya chitchat,majukwa mengine nikujenga uadui tu.Chitchat inaupako ndio maana upendo umetawala,hawa maibilis wanakuja kututafutia ban wakat sie tumeikimbia huko majukwa ya siasa.Washindwe na walegee
Emu jiulize,ni jukwaa gani humu ambalo member hawatofautiani kidini,kisiasa,kijinsia na hata kikabila.Wote ni full mshikamano,upendo.Ukingia cc full shangwe hata kama umeboleka utafurah tu,mi kwangu niajabu nakaribia kumaliza mwaka bila ban kwakua niligundua nikienda majukwa mengine nikacomment bas nianze kuhesabu siku lazima kitasa kinipitie lakn toka nijichimbie cc ban kwangu ni ndoto
siasa zimekushinda nini mkuu.....au siku hizi hakuna mada za kulipwa posho na lumumbaNgoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
huku pakumzikia tu.....BTW, kwenye siasa sioni kipya cuz TZ hamna tena upinzani!! Ngoja wana CCM tusherehekee hizi sikukuu kwa raha zetu!!siasa zimekushinda nini mkuu.....au siku hizi hakuna mada za kulipwa posho na lumumba
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
Hahahaaaa we mwanamama umenichekesha sana aiseeHeheh!
Pua kama konzi ya mwizi!
Twende twende . . . . . macho kama mjusi kabanwa na mlango.
Twende twende . . . . .mdomo kama kikojoleo cha jorowe!