chit chat kimbilio la DOMO ZITO

chit chat kimbilio la DOMO ZITO

tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.
Khaaaa!

siyo wataalam kabisa,
last week nilimtafuta Asprin nimpe maji ya dhahabu
alitoka nduki kama anakimbiza mwenge wa uhuru.
Kwani hapa tunajadili maji ya dhahabu au....Ntake razi, mwenyewe ulikuwa mwoga nusura nikubake...

attachment.php
 
ile picha bado unayo,
kumbe kweli unajua kutunza kumbukumbu.

Naomba uichome unanikumbusha mbali mno baba matesha jamani.

Khaaaa!

Kwani hapa tunajadili maji ya dhahabu au....Ntake razi, mwenyewe ulikuwa mwoga nusura nikubake...

attachment.php
 
tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.

hahahahahahahahahaha
 
siyo wataalam kabisa,
last week nilimtafuta Asprin nimpe maji ya dhahabu
alitoka nduki kama anakimbiza mwenge wa uhuru.

hapo kwenye mwenge wa uhuru mie hoi

hahahahahahahahahahahahahahahaahahahahhhhhha
 
Chama kimedhalilishwa hommie. Itisha mkutano wa dharura kwa mujibu wa kanuni.
hubby nani anakusema vibaya? waambie waje kwangu kwa evidence zaidi! lol, ila kweli na we punguza udomo zege, umeibiwa weeeeeeeee ila umo tu, wenzio wanatumia shortcut!
 
Yamekukuta nini? Ila inawezekana kuna kaukweli. Nitaona kwenye kidate changu na Mentor.
 
Last edited by a moderator:
hubby nani anakusema vibaya? waambie waje kwangu kwa evidence zaidi! lol, ila kweli na we punguza udomo zege, umeibiwa weeeeeeeee ila umo tu, wenzio wanatumia shortcut!

Najua sana. Si ndo maana niko kwenye mchakato? Au ushasahau?
 
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake

Unatafuta watu ubaya wewe, nimekuona!!?
 
hubby nani anakusema vibaya? waambie waje kwangu kwa evidence zaidi! lol, ila kweli na we punguza udomo zege, umeibiwa weeeeeeeee ila umo tu, wenzio wanatumia shortcut!

YoungMasterr!!!!! njoo umsikie Cacicó na Babu
 
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake

halafu ni kweli nilidate na Bishanga akaanza kunipa story za mamtoni ,kiboko Erickb52 yeye alinipa habari za magari tu hadi kero
 
Back
Top Bottom