chit chat kimbilio la DOMO ZITO

chit chat kimbilio la DOMO ZITO

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,389
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake
 
tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.
 
Ni mimi peke yangu sijakuelewa au na wewe mwenzangu?

Weka kituo basi,
unaongea mpaka wachapia?
 
Safari moja huanzisha na nyingine
OOlalalalaaaaaaaaaaaaa:hat:
 
tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.

mmmh....kuna 2 umewataja hapa....mi naona bora keyboard.....kukutana nao uso kwa uso.....sitaki....
 
Back
Top Bottom