chit chat kimbilio la DOMO ZITO

chit chat kimbilio la DOMO ZITO

halafu ni kweli nilidate na Bishanga akaanza kunipa story za mamtoni ,kiboko Erickb52 yeye alinipa habari za magari tu hadi kero

hahahahaha
ya kweli haya secretary? Ngoja ni mwambie Bishanga aje kujibu haya maana sitaki kuamini.
 
bado anafuturu.babu Asprin yeye alianza habari za umuhimu wa shule yani hakuna romantic word hata moja

hahahahahaha! Siamini bado mpaka waje wenyewe na useme mbele yao

kwa hiyo hataa i lov u hakusema?
 
weweweeeee tena uishie hapo hapo, mume wangu asprin anajua kushusha mistari...... Alinishushia hadi nikatafuna vidole.... Mtake radhi plz.....



tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.
 
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake

Kwani we yanakuhuuu?
 
hubby nani anakusema vibaya? waambie waje kwangu kwa evidence zaidi! lol, ila kweli na we punguza udomo zege, umeibiwa weeeeeeeee ila umo tu, wenzio wanatumia shortcut!

lakini mbona hata ha wenye swanggazzz nao hawali??????????? hivi msiri wangu assume umeajiriwa kama kijana wa kulisha ng'ome, je anayemlishia ng'ombe ndani na anayempeleka machungani yupi mwenye uhakika wa faida?
 
Wenzangu na mie wenye domo zito lhawawezi tongozo lakini hatari hao wakikamata keyboard wanashusha mistari kama kasuku hapo mlimbwende wa jf lazima aingie laini na guess nini kitafuata? Ni kidate somewhere,wote wakiwa smartly dressed,mapochopocho na vinywaji mezani.Kazi inakuja mrembo hapati ile mistari aliyozoea kwenye pc wanatizamana na stori mbili tatu...baadae he! Kila mtu tkaingia ena jf anabofyabofya ki gadget chake

hahahahahaha dats true kabisa, yani kuna watu humu wanavunga wanajua kuongea bt am sure ukimit nao bora ungebaki kulala
 
Back
Top Bottom