NATA samahani nilikuwa kwenye kikao na mida hii ndio natoka naelekea "LEO TUPO HAPA PUB" maeneo ya Mwanayamala, nitaungana na wanachita chat kadhaa, jina kapuni kwa ajili ya kusongesha... kama kawaida kutakuwa na Cotensa, Govinder Kumar, Strawberry Lips, Tequila, hii nimeinunua leo pale Mohans na Sambuca Zappa......
Karibu sana