Ulijifanya umehamia kwenye mapenzi lol
haya karibia tena
Chit chati imekuwa chaliiiiii hamna mvuto watu wamekimbilia kule MMU
tupo tupo kabisa.
Nalog off
Tupo tupo kabisa kwa jeuri ya chama!!!! BADILI TABIA
Malizia ... Kwa jeuri ya chama kubwa la CC!!!
Si ufunguke tu Bi'dada?
Wadhani hii dunia ina siri basi ?
Hiyo mimba (mornin sickness) twajua ndiyo inayokuadimisha humu!
Weka wazi tu! Hiyo hali sio hatia!
heheheh Judgment mdomo wako uwe wa kheri.... Ninahamu ya kujaza dunia....subiri nikilengeshe.....natamani kunyonyesha tena si unajua mtoto mchanga ana raha yake.....
Haswaa!
Umenijibu maswali yangu ya mwezi mzima mbele.
ni badili tabia ninayemjua ama photokopi yake?
Hapi nyu yia!
BADILI TABIA mpenzi hivi unaweza kunisahau kiasi iko?
Tupo tupo kabisa kwa jeuri ya chama!!!! BADILI TABIA
Eti BADILI TABIA mke wa ujana wangu umeniita au maneno ya watu tu?hivi humu ndani mpoooo? Nimewamiss mjue? Maisha tu yamebana halafu nimezoea stress za siasani kidogo (nafanyisha moyo mazoezi).....
Nawatakia weekend njema.....
Hugs za pekee zimwendee mume wangu Asprin (kaadimika kama makalio ya nyoka) na wake wanzangu cacico Yummy (walahi kapotea ) na Kongosho(huyu napishana nae kila jukwaa) nimemiss faivu samu.....
Eti BADILI TABIA mke wa ujana wangu umeniita au maneno ya watu tu?
mmu ipo juu.......
Ndo maana huku kumekuwa dorrooooooo
Shimbony shafo cleme
Mzee wa Rula hivi upo duniani humuhumu au umehama sayari?Ndoa nyingi humu zimesambaratika BADILI TABIA, ndiyo maana mumeo Asprin mpaka saizi hajui kama umemuita!! Lakini isiwe nongwa kijana Erickb52 japokuwa kaadimika lakini alinipaga story eti ana.....!!
Mimi ngoja nikaendelee na CV ya Nape kule siasani maana inanifanga niburudike!