BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
- Thread starter
- #41
Eti BADILI TABIA mke wa ujana wangu umeniita au maneno ya watu tu?
Ndoa nyingi humu zimesambaratika BADILI TABIA, ndiyo maana mumeo Asprin mpaka saizi hajui kama umemuita!! Lakini isiwe nongwa kijana Erickb52 japokuwa kaadimika lakini alinipaga story eti ana.....!!
Mimi ngoja nikaendelee na CV ya Nape kule siasani maana inanifanga niburudike!
Hebu twende PM kwanza tukatongozane upya. Haiwezekani nikakumisi namna hii asee.nimekuita mume wangu kipenzi.....nimekumisijeeeee
Pata tuition hapo chini we binti sayuni.Shimbony shafo cleme
Mbonyi shafo klemee....
Jiwe Linaloishi....mbona unataka kunipeperushia ndege wangu?
Kaka yako Rutta katekwa tulipokua fungate!nisaidie jinsi ya kumpata
Ukiona manyoya ujue.......!!!
mtekaji anataka mshiko mrefu ili amuachie,napitisha mchango!
mwanaume huwa hatekwi...mara ya mwisho Loya aliniaga anaenda Tanga, sasa hebu du ze maths!!