Chit chat bado ipo?????

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,163
hivi humu ndani mpoooo? Nimewamiss mjue? Maisha tu yamebana halafu nimezoea stress za siasani kidogo (nafanyisha moyo mazoezi).....

Nawatakia weekend njema.....

Hugs za pekee zimwendee mume wangu Asprin (kaadimika kama makalio ya nyoka) na wake wanzangu cacico Yummy (walahi kapotea ) na Kongosho(huyu napishana nae kila jukwaa) nimemiss faivu samu.....
 
Last edited by a moderator:
yaan wewe huwa nakuonaga majukwaa mengine upo bize unajifanya hunioni kabisa! mumeo kawekwa kwenye chupa dadaaaa!@cacio yupo lupango huyo mwingine mara ya mwisho niliskia sikia.....lakini usimwambie mtu siri yako eti eeeeeh ila acha UMIMI
 
Kijiwe ni kile kile ila wapiga story ndio wamebadilika...
 
yaan wewe huwa nakuonaga majukwaa mengine upo bize unajifanya hunioni kabisa! mumeo kawekwa kwenye chupa dadaaaa!@cacio yupo lupango huyo mwingine mara ya mwisho niliskia sikia.....lakini usimwambie mtu siri yako eti eeeeeh ila acha UMIMI

tobaaaa mbona wanipa habari mbaya kwa familia? Nataka nikamtembelee cacico jela...halafu huyu mwanaume (Asprin) wangapi tumemweka kwenye chupa? Si atachanganyikiwa jamani?
 
Last edited by a moderator:
Chit chati imekuwa chaliiiiii hamna mvuto watu wamekimbilia kule MMU
 
Si ufunguke tu Bi'dada?
Wadhani hii dunia ina siri basi ?
Hiyo mimba (mornin sickness) twajua ndiyo inayokuadimisha humu!
Weka wazi tu! Hiyo hali sio hatia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom