Chipumbu V/S Libolo

Chipumbu V/S Libolo

na hizi timu mashabiki wao wakubwa wanaitwa minye ge.
Ipo siku kila mtu ataishangilia Simba Sports Club.
Nalog off
 
Hata wewe???unaniaibisha.....Sorry but this is childish

Hahaha ni utani wa kimichezo(haswa kwa watani wa jadi Simba na Yanga)....hayo yote mawili ni majina ya timu za mpira ambazo zitakutana kwenye second round ya CAF Champions League.
 
Haya kuhusu, na kama unaona utoto huna haja ya ku comment, ku quotes wala kutoa like, bali unge upotezea uzi kama auoni vile

Chonde chonde mkuu hapa CC tuna kawaida ya kuheshimiana...lugha uliyoitoa hapo sidhani kama ipo kwenye kamusi za CC.
Una haki ya kutoa ufafanuzi ulio na weledi kwa kuwa wewe ndiye uliyeweka hii mada jukwaani.
Soma mara mbili post ya dada wa watu,pamoja na kuwa alikuwa na nia ya kukukosoa lakini utaona katumia lugha ya heshima, vilevile utagundua kuwa kuna "some info" anazikosa.
 
Mkuu watu8 nimekuelewa, ila nimechukizwa na neno lake la mwisho ( utoto ), angekua anataka nimueleweshe, angeuliza na asingekua na haja ya kusema hilo neno rake la mwisho..
Siku njema!

Last edited by a moderator:
Haina shaka kaka....pamoja sana!!!

Mkuu watu8 nimekuelewa, ila nimechukizwa na neno lake la mwisho ( utoto ), angekua anataka nimueleweshe, angeuliza na asingekua na haja ya kusema hilo neno rake la mwisho..
Siku njema!
 
naona kama siasa hapo zinaanza kufanya kazi yake....!
Nioneshe kwa matendo na sio polojo kama unanipenda kweli

hapana sio hivyo mpenzi wangu
bado umeuteka mtima wangu
hakuna wa kuyapunguza mapenzi yangu kwako labda Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom