Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

dobolo

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
47
Reaction score
8
Wadau wengi wamekua wakizipondea chipset tajwa hapo juu, sasa mi ni mgeni wa haya mambo ningeomba wadau wanisaidie kubainisha matatizo ya hiz chip.
 
kuna chip mpya za mediatek ni true octacore nitazi exclude hapa maana naona wameimprove kidogo.

haya ni matatizo ya mediatek

1.zinakuwa hazina support. simu ya mediatek ikija na software version ndio hio hio mfano android 4.1 ujue hutapata updates za baadae. mfano wake simu za tecno hutaskia zimepata update za kit kat au android l

2. security ndogo. simu hizi zinakuwa wahanga wa hacking nyingi. comand ndogo tu hata ya sms simu yako inacheua data zote.

3. low quality. picha inayokuwa produced kwenye mediatek inakuwa na quality ndogo kucompare na qualcom au exynos.

4.feature za simu. mediatek ina feature chache kucompare na wenzake. mfano vitu kama 4k, 4g, slow motion camera, dual camera huwezi vikuta.

5. pia hizi chip sio reliable sana ni rahisi kucorupt na imei kupotea, unaweza change imei, chip moja ikipata matatizo zinapata zote

hayo ni machache kaka ila yapo mengi na sio mediatek tu kuna wamarekani kama intel na nvidia pia wana historia ya kutoa chip mbovu mfano tegra ya htc one x ilifeli vibaya mno.

chip nzuri za simu ni
1. exynos za samsung
2. snapdragon za qualcomm
3. kirin za huawei
 
nashukuru kaka kwa elim nzuri,vip kuhusu hii tecno mpya waliotoa i.e phantom z
 
phantom z pia zinatumia mediatek hizo hizo tena nyengine ni dual core cortex a7.

ongeza weakneas nyengine mediatek zinatumia cortex a7 ambazo cpu zake ni dhaifu
 
Mkuu chief kwann hawa tecno simu zao hazina led indicator?

Pili nazan hili pia ni tatizo kwao, kupoteza kumbukumbu, simu iki sleep wakat mwingine kuamka ni issue.
 
tatizo la led indicator siwezi kucoment ila ni uamuzi wao tu.

hilo la lock screen sio android 4.3? maana niliwahi kuwa nalo pia kwenye simu yangu ila nikapata patch ya kusolve ni aoftware bug tu.
 
mkuu izi krait za sony ezperia z unazizungumziaje???
 
xperia z inatumia snapdragon S4 pro chip ambazo ni quad core na baseline yake ni 1.5 GHz... hz ni nzuri kuliko za kwnye xperia z1...
 
z1 ina snapdragon 800 ambayo ni powerful kila njia.

kwanza ni krait 400 vs krait 300 ya s4

pia ni quadcore ya 2.2ghz compare na 1.5ghz ya s4
 
chip ya xperia z1 ni bora kuliko ya xperia z ktk raw speed na GPU.. Ila zinafanana
1. L1 instruction cache
2. L2 cache
3. L1 data cache pia word length na data bus zote ni 32 bit...
 
Na hizi Tecno R7 na Phantom AIII zinaangukia hapo?

R7 ina hexa core 1.5GHz ni nzuri kwa phantom A3 ila bado huwez kulinganisha na exynos, kirin au qualcomm.... uzuri wa R7 inayo software update... mediatek octa core ndio nzuri unaweza ukaiweka ktk processor nzuri kwa sasa... uzuri wa mediatek ni kwenye bei za vifaa vyao....
 
vp kuhusu lenovo A 3000-H.??
naon na yenyew ni mediatek
 
Back
Top Bottom