Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,539
- 1,582
Mmmh mayayiii tena.... air conditioner iwepo aiseeIli kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.
Uko sahihi..kuna bus kama Kilimanjaro na Dar expess na Bm hotel wanayotumia hakika ni wizi mtupu, vyakula vibovu na kidogo sanaHaya ni mambo ya kijitakia, wakati mwingine naona no bora tuendelee kupigwa tu kwani tunastahili. Zamani magari yote yalikuwa yanasimama stendi, sehemu yenye hoteli na migahawa mingi, na bei za kila aina, wasafiri wanachjagua wale wapi. Ushindani kwenye hizo hoteli ulikuwa unafanya wenye hoteli kupika vyakula vizuri na kuuza bei rafiki. Mara ''wajanja'' wachache wakaanza kujenga hoteli katikakati ya mapori na kufanya deal na wenye mabasi ili yasimame pale. Ukienda pale hakuna ushindani, msosi ni kidogo na wanapanga bei wanayotaka. Na mbaya zaidi mnapewa dakika kumi tu ili muwe na haraka ya kununua na vichwa vyenu visiweze ku-mind bei ya vyakula. Tukiunga wote na kudai magari yarudie kupaki stendi za umma kama zamani mambo yatabadilika.
Mimi sijasema ulie kwenye gari.Pengine haupo updated,
Mabasi mengi nw days hawaruhusu watu kula kwenye basi sababu ya uchafu.
Unaposema watu wanaendekeza kula njiani sidhan sana upo sahihi, hilo ni swala la personal choices kama vile wewe unapoamua kupika nyumbani na kusafiri nacho- Ni choices zinazokuwa executed in different modalities.
Mkuu naomba nikunukuuMimi sijasema ulie kwenye gari.
Ukishasema ni personal choice basi huna budi kupambana na gharama zake pasipo malalamiko maana its personal.
Ni wewe umechagua, na kupanga ni kuchagua.
Ndio maana nasema unaweza kuchagua kutokula au kula bites na safari ikaisha vizuri tu.
Lakini ukichagua kula chips kuku njiani au chips nyama choma basi ujue kupambana na gharama zake.
tatizo liko hapo sasa, yaani cc abiria tuapenda kufika haraka hasa safari ndefu, unadhani bus lilipakiwa pale msamvu stendi mkapewa dkk10 kutafuta chakula!!!!, loooh utashangaa kama sio abiria wengi kuachwa labda likae saa nzima kusubiri abiria warudi. lakini mimi najiuliza tunashindwaje kujinyima uvumilie au usile mpk ufike au kunywa juice/soda na andazi au skonzi usijilazimishe kununua chakula cha bei kubwa halafu mwisho wa siku unalalamika, au beba kaugali kako na dagaa unapoanza safari ili wakipaki kula we fungua kaugali kako hautatumia hata mia hapo!!!!. au nunua plate ya matunda baaaasi tosha kabisa, ukikubali kulipa elfu8 halafu unaanza kulalamika kama vile hapakuwa na alternative, napigwa bumbuwaziShida siyo soko huru abiria hana option huu ni uonevu uliopitiliza na uwizi wa nguvu. Wasimame maeneo ya mjini kupata chakula.
Siyo msamiati wala lugha ya mtaani bali ni moja ya 'neno' kutoka kabila lililopo mkoa wa mapenzi yalipoanzia!.🤣🤣🤣🤣🤣
Huu msamiati, 'gongodyo' una maana gani mkuu na ni lugha ya kabila flani au mtaani tu?!!
Kula mdogomdogo sikumaanisha kudonoadonoa garini, nilimaanisha wakati wa kula unakuwa hina pressure kwenda kupanga foleni kununua msosi huku ukikimbizana na dakika chache wanazotoa kwa ajili ya kula.Mkuu naomba nikunukuu
"Kaanga vipande vya ndizi mzuzu na vioande vya nyama kiasi funga kwenye foil panda bus.
Ukifika njiani unakula mdogomdogo"
Pengine ulikuwa unaanisha nini kusema kula mdogo mdogo njiani wakati wa safari manake point ya kulia ni moja tu?
Ooooh, Thanks.Kula mdogomdogo sikumaanisha kudonoadonoa garini, nilimaanisha wakati wa kula unakuwa hina pressure kwenda kupanga foleni kununua msosi huku ukikimbizana na dakika chache wanazotoa kwa ajili ya kula.
Wakati wengine wanakimbizana wewe utakuwa unajipigia msosi wako mdogomdogo.
Pamoja MkuuOoooh, Thanks.
Chips za hivi usafi sifuri kabisa... Ila mazoea bwana yaani kweli mtu anashindwa kutoka home na skonzi/slesi 2 za mkate, mayai ya kuchemsha 2, chungwa/ndizi na juice/soda kweli?? Tena safari yenyewe Dar to DodomaSubiri gari ikiingia singida stendi huwa inasimama kwa muda kidogo kuna watu wanaletega Chipsi pale take away sh 2000 unaweza ukanunua chap
ExactlyWaTz tunaendekeza sana kulakula njiani tukiwa safarini.
Kaanga vipande vya ndizi mzuzu na vioande vya nyama kiasi funga kwenye foil panda bus.
Ukifika njiani unakula mdogomdogo.
Vinginevyo mwendo wa bites tu na juice mbona safi tu.
Huwezi kufa kwa kushindwa kula siku moja tu ya safari.
Ni kweli kabisa, madereva na makondakta wanakula bure plus posho juu kwenye hizo hotelMabasi ya Abiria yanakula njama na wenye hizi hotel za barabarani , NAWEZA KUTHIBITISHA .
Mkuu hazifai hizoo, zimelala na pia usafi zero..Hazilali zile?
Unakaanga zile ndizi ambazo zimeanza kuiva kwa mbali, ndiyo nzuri. Ukikaanga mbichi lazima ziwe ngumu. Pia weka kwa foil then kwenye kikontena kidogo..Ndizi zikipoa zinakua ngumu
Duuuh umenikumbusha Akida Bus Dar to Mtwara miaka hiyoo njia ni vumbi..Uwe unatembea na jiko, mchele,mboga, wakisimama kula na wewe unawasha jiko, unapika
KudadadekiIli kunogesha safari zaidi unaandaa mayai yako ya kuchemsha yakutosha, hotpot kubwa la makande yakisindikizwa na chupa kubwa la juice ya parachichi mixer ndizi.
Hapo safari yako itakuwa murua hasa ukiwa kwenye zile bus za luxury full Ac.