saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,683
- 7,796
Highway korogwe ule ni unyama hakuna ubinadamu pale. Nani anahusika na haya Mambo? Kwanini wasisimame eneo la mjini tuwe na choice? Wali nyama 8,000 vinyama 3.Balozi Polepole alipokuwa anapigia kelele hizo issues mlimuona gongodyo eeh?.
Njoo hapa Highway korogwe upambane nazo!.
Nimepita hapo pia asee ule ni wizi yaani tuchips tubaya tudogo nyama sijui kama ni zaUnawaza kula tu. Watu wanafikiria namna ya kuitekeleza Ilani kwa vitendo ifikapo 2025.
kuna tume ya ushindani. ukipeleka malalamiko huko wataitikaSalam,
Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.
Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Kwa namna hiyo, bora mtu kuwa na mkate wako wenye blueband uwe unakunywa na juice au soda basi, na hii hata risk ya kuharisha itapungua.Option ipo. Ule usiku wa safari, pika misosi, jaza ma hotpot then utakula kesho yake safarini.
lakini pia ukumbuke kwenye soko huru, demand inaamua bei kwenye bidhaa zisizodhibitiwa. hata kama ungekuwa wewe una kamgahawa pale nata nzega, mabasi kama kumi yakakwama kwa sababu yoyote ile, nakwambia kikombe cha chai ya siturungi utauza buku. miaka fulani ya nyuma barabara bado zile za wahenga, tulikwama pale kateshi kwenye kamlima kale kalikuwa na utelezi sana,ilikuwa usiku kimvua kinanyesha ni kijijini, tuluziwa chai yenye chumvi sio sukari, chapati nadhani zilikuwa za unga wa mhogo bei siikumbuki ila ilikuwa maradufu. waache tuwapige pesa wasomali hao na wewe hapo ujifunze kitu. halafu investment yao naona ni too risky ukikosana na madereva tu imekula kwake, au latra wakatoa utaratibu mwingine, wamewake. kwa hiyo wanakimbizana kurudisha pesa zaoSalam,
Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wamewekemo chips kidogo ba nyama finyango hazifiki 7.
Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?
Hata hivo naona,zile bei ni za kukomoana,finyango 4 ndogo vichips vya kusambazwa,Free market economy quality of the service matter.5000 ndio halali,nchi haiwezekani ikaenda kiholela.itafikia pahala 10,000 na hushibi.ila uzuri mmoja hawakulazimishiMwalimu wangu aliniambia
"Sio kila kitu kimewekwa/tengenezwa kwaajili yako"
Yeah!Kwa namna hiyo, bora mtu kuwa na mkate wako wenye blueband uwe unakunywa na juice au soda basi, na hii hata risk ya kuharisha itapungua.
To some extent inaweza kuwa justified,Nilipita pale Four Ways ndo mara ya kwanza sijui bei zao, naenda kuulizia msosi bei nilizotajiwa nilikimbia . Ndio maana nikiwa safarini nakuwa na biscuits sanasana Digestive na karanga au korosho...imetoka hiyo mpaka nifike ninakoenda
Bites na juice au soda ni salama zaidi.WaTz tunaendekeza sana kulakula njiani tukiwa safarini.
Kaanga vipande vya ndizi mzuzu na vioande vya nyama kiasi funga kwenye foil panda bus.
Ukifika njiani unakula mdogomdogo.
Vinginevyo mwendo wa bites tu na juice mbona safi tu.
Huwezi kufa kwa kushindwa kula siku moja tu ya safari.
We huna akili ht za kuazima au umelewa?Wacha kulalamika wewe ndo hali halisi ya uchumi, ukilishwa nguchiro au mzoga wewe wewe utakuwa wa kwanza kukenua humu!