BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,779
Salam,
Nilipita hapo leo nikazama nikauliza bei ya hizo chips, kuna vifuko vya kaki vilivyokatwa nusu wameweka chips kidogo na nyama finyango hazifiki 7.
Nilichoona kwa bei zile wasafiri wanapigwa sana. Utanunua tu kwa kuwa hakuna option. Hii nchi hakuna wanaodhibiti bei za vitu?