Chinese Scholarship Application procedure

Realty16

Member
Jan 20, 2016
22
7
The deadline for this kind of scholarship is early April, 2016. Remember you need to have passport in hand before the start of filling the online forms.

Regards,
agent_china@yahoo.com
 
Attachments

  • CSC Scholarship Procedure_English.pdf
    3.7 MB · Views: 444
  • Universities in China by 2015 University Web Ranking.pdf
    171.8 KB · Views: 344
Kila chuo kina agency number ambayo inatambuliwa na CSC ( china scholarship council) hivyo ni lazima ujue chuo unachotaka kusoma na namba yake. Utapata information kwy mtandao ya namba ya chuo utakacho.
 
Asante ngoja nifanyie kazi
 
izo nafas bado zipo wakuu? je kuna course za afya? kuna garama gan za kujiandaa nazo,, pia baada ya kujaza na kuscan na kuprint tunasubmit wapi? tafadhali nieleweshe kama mtu nisie faham,, ukiguswa kunipa maelezo zaid nipatie namba yako,, stay blessed u all
 
Back
Top Bottom