FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Mimi ninavojua quruan iliandikwa wakati ulee Wa wajanja wachache huko Persian gulf ili wawatawale wengine ilibidi wa tumie nguvu ili wapate wafuasi
Ndo maana mnasambaza hiyo imani yenu kwa kutumia nguvu na si akili
Unavyojuwa ni wrong.
Wewe hapo ulipo ni lini ilitumiwa nguvu kwako?
Jiulize sasa hivi USA Uislam ni the fastest growing religion, jee na huko ilitumiwa nguvu ipi? Europe Islam ni fastest growing religion kwa sasa hivi na huko inatumika nguvu ipi?
Nijuavyo Ukristo ndiyo umeendeshwa kwa nguvu soma kuhusu "crusade" ufunguwe ubongo japo kiduchu.