China yawazuia Waislam kufunga swaumu

China yawazuia Waislam kufunga swaumu

Status
Not open for further replies.
mimi ni mtanzania na namwamini Yesu kristo. lakni hili kew wachina sikubaliani nao.

Hukubaliani kwa sababu tabia yako ni ya kitanzania na sio Kichina.China ina tofauti sana na Tanzania kuanzia Uchapakazi,Maendeleo,Sayansi na Teknolojia.
 
Wanachokifanya serikali ya china ni kuzuia sunami kwa kijiko cha kukologea chai.
 
Kwani wanalazimishwa kula kwa kushikiwa bunduki ?

Haya mambo ya Imani kila mtu afanye anavyotaka ila kufanya kwako kusiwe kero kwa wenzio wala kusisumbue/badilisha matakwa binafsi ya mtu. Wewe ukitaka funga ila kufunga kwako kusisababishe anayetaka kula asile sababu wewe umefunga (unless wewe mtoa huduma umeamua kufunga kwa kuacha kutoa huduma)
 
Niko China sasa Hiv Waislam hawajazuiwa Kufunga Mwezi wa Ramadhan, Ila Serikali Haitaki Mfungo uwe sababu ya kudhorotesha shughuli za uzalishaji, yaani isiwe kama Bongo mtu amefungu halafu hafanyikazi yeyote anasuburi kufuturu, au Umefunga halafu anataka kila mtu anae kuzunguka nae awe amefungu kama wewe, mafano tanga ukienda sasa hiv utawakuta wamelala misikitina na fukwe za bahari wakisubiri magharibi utakuta maduka yamefungwa, migahawa nk...Jana tu nimeenda kula katika mgahawa wa KIISLAM mchana saa 6 eneo la Changping, ingawa wahudumu wanaonekana wamefunga wakiwa wamevaa hijabu zao wanaendelea na kazi kama kawaida....Wakristo nao Ikifika jumapili wanenda Kanisani Kama Kawaidi ilimradi Imani yako isiingilia shughuli za Kijamaa na Maendeleo ya mchi kwa ujumla

Hiyo ni poa sana. Taratibu za zisiingilie taratibu za serikali na zile za kuinua uchumi
 
Sehemu kama tz nguvu kazi inapungua sana wakati wa mfungo hio sheria ingekuwepo bongo pia

Umaskini wa mawazo ni umaskini mkubwa sana....ww unaesema wakat wa mfungo nguvu kazi inapungua hivi unajua mataifa mengi ya kiislam ni mayaifa tajiri sana na yanaongoza kwa obada ya kufunga kwa asilimia mia moja? Hata Dubai ambayo ni kitovu cha utalii na ukuaji wa uchumi dunian ukienda saiz kla mtu kafunga na michakato inaenda kama kawa narudia kusema umaskin wa mawazo ni umaskini mbaya sana...et unasena tz mbona lesotho yenye asilimia 99 ya wakristo haifungi mwez huu na bado ni nchi fukara dunian? Mm nafikir kungekua na social media za watu wenye uelewa mdogo mana tukichanganyika nao humu tutaonekana tuko sawa hii inaboa.....
 
Qur'an 5:59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? ***

Watu wa kitabu ni waishikao Biblia!!!!!! Soma sana Biblia itakusaidia
 
Kilaza
Wachina hawajielewi, nguvukazi itapungua VIP wakati watu wanakula daku SAA 10:30 alfajiri na wanaamka wameshiba ndii, wanakuwa nanguvu za kupiga kazi kama kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Mmh........... usianze kutafuta visingizio.

Inawezekana wewe ukawa una hulka ya uvivu, huwa haijalishi uwe umeshiba au njaa inauma, ukiwa na hulka ya uvivu, wewe utategea tu kazi...............
Hahahhaa,umepiga za mbavu,maana mie nilikuwa nikisoma simuelewi.
Kumbe jamaa vivu zembe kwenye maisha.Na age imekata
 
Kutoka kwa Allah

Mimi ninavojua quruan iliandikwa wakati ulee Wa wajanja wachache huko Persian gulf ili wawatawale wengine ilibidi wa tumie nguvu ili wapate wafuasi

Ndo maana mnasambaza hiyo imani yenu kwa kutumia nguvu na si akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom