China yawazuia Waislam kufunga swaumu

China yawazuia Waislam kufunga swaumu

Status
Not open for further replies.
Niko China sasa Hiv Waislam hawajazuiwa Kufunga Mwezi wa Ramadhan, Ila Serikali Haitaki Mfungo uwe sababu ya kudhorotesha shughuli za uzalishaji, yaani isiwe kama Bongo mtu amefungu halafu hafanyikazi yeyote anasuburi kufuturu, au Umefunga halafu anataka kila mtu anae kuzunguka nae awe amefungu kama wewe, mafano tanga ukienda sasa hiv utawakuta wamelala misikitina na fukwe za bahari wakisubiri magharibi utakuta maduka yamefungwa, migahawa nk.

Jana tu nimeenda kula katika mgahawa wa KIISLAM mchana saa 6 eneo la Changping, ingawa wahudumu wanaonekana wamefunga wakiwa wamevaa hijabu zao wanaendelea na kazi kama kawaida.

Wakristo nao Ikifika jumapili wanenda Kanisani Kama Kawaidi ilimradi Imani yako isiingilia shughuli za Kijamaa na Maendeleo ya mchi kwa ujumla.
 
Niko China sasa Hiv Waislam hawajazuiwa Kufunga Mwezi wa Ramadhan, Ila Serikali Haitaki Mfungo uwe sababu ya kudhorotesha shughuli za uzalishaji, yaani isiwe kama Bongo mtu amefungu halafu hafanyikazi yeyote anasuburi kufuturu, au Umefunga halafu anataka kila mtu anae kuzunguka nae awe amefungu kama wewe, mafano tanga ukienda sasa hiv utawakuta wamelala misikitina na fukwe za bahari wakisubiri magharibi utakuta maduka yamefungwa, migahawa nk...Jana tu nimeenda kula katika mgahawa wa KIISLAM mchana saa 6 eneo la Changping, ingawa wahudumu wanaonekana wamefunga wakiwa wamevaa hijabu zao wanaendelea na kazi kama kawaida....Wakristo nao Ikifika jumapili wanenda Kanisani Kama Kawaidi ilimradi Imani yako isiingilia shughuli za Kijamaa na Maendeleo ya mchi kwa ujumla


Safi sana wachina. Hivi ndivyo nchi inavyoendeshwa. Na ndo maana nchi zetu hizi maendeleo hakuna, vitu kama hivi watu wanajipa likizo. Wakristo wanatumia mda mwingi sana kuhubiri injili, huku nako wenzetu wakifunga ni sababu tosha ya kulala tu.
 
Siamini hii habari yako, kuna mambo utakua hukuyaweka wazi aidha kwa makusudi au kutafuta kuungwa mkono na waislam wenye itikadi kali. Naamini serikali haiwezi kuingia ndani ya mioyo ya waislam hao na kuwalazimisha wasifunge swaumu, bali pengine waislam hao walitaka kulifanya eneo hilo as a half islamic state kwa kuingilia na kuzuia imani za wengine aidha kwa sababu ya wingi wao eneo hilo. Nadhani historia ya China inafahamika na Taifa lisiloamini katika hizi imani za kiislam na kikristo, bali kila watu wana imani zao. Naona bado kuna kitu hujakisema mkuu, hebu funguka.
 
Sijui kwanini watu wanalazimika kushinda njaa. Sijui , sijui , sijui....
 
Ahaaaaaaa.... okay.
Unamaanisha wachapa kazi ni waislam, right? Na nyie wengine mliobaki ni magumashi na ubabaishaji mnapokuwa kazini eeh?! Thank you for the compliment, we appreciate.

umeelewa mwezio alichokiandika kweli??.......umeambiwa nguvu kazi inapungua na sio kama haipo kabisa....na haimaanishi nyinyi ndo wapiga kazi......ungesoma critical thinking ungejua maana ya kufanya reasoning kabla haujatema pumba zako
 
Hongera sana FaizaFoxy kwa kuweka verse ambayo wataalam wa historia ya dini wanaitumia kuamini kuwa dini ya Kiislam ni man made, kwanza inaita Wakristo kuwa ni watu wa kitabu, yaani watu wa Biblia, hii ni eveidence kuwa Mohammad amekuta tayari injili inapigwa. Lakini jiulize kwanini Mingu aliewapa Wakristo Bible ahamue kuwaita watu wa kitabu wakati yeye mwenyewe ndio kawapa?.

Pia kusema kuwa Uislama ni dini ya haki ni fikra ya kibinadamu tu, ushindani wa Kibinadamu tu. Mungu haitaji kusema dini fulani ni dini ya haki. Mungu ana Sheria zake standard alizompa Musa, ukizifuata hizo basi wala haitaji kujua kama ni dini ya Haki. Mungu anadhihirisha uhaki wa dini kwa miujiza yake, mfano Yesu mpaka leo hana baba wa kimwili alikuja kimiujiza, wakati wa kuondoka aliondoka kimiuiza, alifufua wafu, kuponya wagonjwa nk. Kupitia Miujiza ya Yesu na style yake ya kuja inadhihirisha kuwa Wakristo wako katika njia sahihi, Pia Yesu katabiri mambo mengi yanayotokea leo, mfano watu kukana utatu mtakatifu, wanaojitoa Muhanga na kuua wakidhani ni ibada nk

Pametajwa wakristo hapo kwenye hiyo aya? nioneshe. Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo
 
mimi ni mtanzania na namwamini Yesu kristo. lakni hili kew wachina sikubaliani nao.
 
Qur'an 5:59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? ***
China sio watu wa kitabu. Qur'an inasema watu wa kitabu inamaanisha mayahudi na manasara .a sio wachina ambao wengi wao hawazijui hizo dini.
 
Xinjiang ni eneo ambalo watu wake ni wa ajabu ajabu, miaka kazaa iliyopita kuna jamaa aligonga watu 10 na gari na kuwauwa makusudi kabla ya kupigwa risasi na polisi. Lakini pia majimbo mengine ya China kama Hubei watu wake wanaogop sana jamii ya Xinjiang maana huwa hawachelewi kuchoma visu wenzao.
 
Xinjiang ni eneo ambalo watu wake ni wa ajabu ajabu, miaka kazaa iliyopita kuna jamaa aligonga watu 10 na gari na kuwauwa makusudi kabla ya kupigwa risasi na polisi. Lakini pia majimbo mengine ya China kama Hubei watu wake wanaogop sana jamii ya Xinjiang maana huwa hawachelewi kuchoma visu wenzao.

Watu wa ajabu wapo kila mahali hapa duniani.juzi kule south carolina Marekani kijana mmoja wa kizungu kaingia katika kanisa la watu weusi wa asili ya Afrika akawapiga risasi watu 9 wakafa.

Huyu si mtu wa ajabu? Kijana huyu amejawa na chuki na roho mbaya kwa watu weusi.

Hana tofauti na baadhi ya watu hapa wanaoeneza maneno ya chuki dhidi ya waislam .

Ukifurahi serikali ya uchina kuwazuia waislam kutekeleza ibada yao utanufaika na nini?

Use common sense..
 
Qur'an 5:59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? ***

Mliyoteremshiwa kutoka wapi?
 
watu wa ajabu wapo kila mahali hapa duniani.juzi kule south carolina Marekani kijana mmoja wa kizungu kaingia katika kanisa la watu weusi wa asili ya Afrika akawapiga risasi watu 9 wakafa.huyu si mtu wa ajabu? Kijana huyu amejawa na chuki na roho mbaya kwa watu weusi. Hana tofauti na baadhi ya watu hapa wanaoeneza maneno ya chuki dhidi ya waislam .ukifurahi serikali ya uchina kuwazuia waislam kutekeleza ibada yao utanufaika na nini? Use common sense..

Mkuu, sehemu zingine za uchina Waislam mbona wamefunga na wanaswali (huwa wanaswali)kama kawaida, kwa nini Xinjiang tu?
 
Mkuu, sehemu zingine za uchina Waislam mbona wamefunga na wanaswali (huwa wanaswali)kama kawaida, kwa nini Xinjiang tu?

Soma historia ya Xinjiang.

Hili taifa lilikuwa huru kama Tibet. China wanalitawala kwa nguvu kama Tibet.

Wenyeji wa Xinjiang wanapenda kuitwa watu wa East Turkistan au Uyghurstan. Hawa siyo Wachina na wengi wanapendelea uhuru ila hawana sauti kama Tibet ilivyo.

Kwa vyoyote, hata kama wako chini ya utawala wa Kichina, wananchi wao wanaswali na kufunga na kuvaa mavazi ya utamaduni wao hata kama China haitaki.
Kila mtu anajua China ni serikali ya Kikomunisti isiyo heshimu demokrasia. (Hamna siasa ya vyama vingi).

Kipi cha kushangaza?
 
Mleta mada introduced herself as prof.kilaza.tusibishane nae nadhani vilaza tunawajua.ukimzuia mtu kufunga utajuaje kama ametii,labda umpe msosi kwa nguvu
 
Qur'an 5:59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? ***

Hili swali unamuuliza nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom