China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

kuna watu humu wakisikia marekani anadaiwa na china, wanajua marekani walienda kukopa fungu kwa wachina.
 
Usifananishe ushilawadu wa USA na Wizi wa data ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa taifa. China kafumwa anaiba data za AU watu wanajadili mambo ya nchi zao.
 
Waasi wengi wanatumia ma- 47..
47 ni silaha ya mrusi, lakini ajabu analaumiwa marekani kuwa ndiye anawawapa silaha wahasi.
 
Hujaona mikataba ya uchimbaji wa Nickel, uranium, Neon, nk. inayosainiwa? Hii nchi tajiri asikwambie mtu, majuzi tu ndiyo yalikuwa yanatukwamisha!
Hayo maneno tu ya wanasiasa!!toka huo wimbo wa majizi kuwa ndio yalikuwa yanaiba huu ni mwaka wa sita sasa!!kukopa kupo pale pale, huduma za jamii bado zinasua sua!toka awamu hii ya tano iingie 2015, hadi sasa kwa mwananchi wa kawaida anaweza akajivunia nini kuwa amepata unafuu?!!deni la taifa ndio hilo limekuwa kwa kiwango cha kutisha!!ndio huo mgodi utakao toa ajira milioni8?!! Hahaaa, wanyonge wanakimbia miji yao kisa kulazimishwa kuchangia ujenzi madarasa!!huwezi ukaendesha nchi bila kufuata utaratibu wa bajetilinalokuja kichwani ndio hilo hilo??
 
Duh mzee umeielezea China kamaa Tabora yani..yani kama hawanabuwezo wowote inashangazaπŸ˜€πŸ˜€
 
Hata sie tumwekee huyu mjinga
 
Mkuu ssa kama ni pointless basi hata marekani kufungia watu pia si pointless au??
 
Dependency to who? This convo will just get weird if you don't even know Africa depends on who...
First of all you know we depend on each other.
On the second point your know since after independence, we have been relying on western countries or our former colonial "masters"
What surprise me it is your cry about our dependency on "China" while b4 that it was ok to U ??
Thirdly it is not only us on this, though that one should not be a defence, but the key thing is for us to invest on education on one hand and on another hand we should invest on research and development, which at the moment due to meagre resources we can not, balance it correctly , while at the same time we are investing on infrastructure.
 
Usifananishe ushilawadu wa USA na Wizi wa data ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa taifa. China kafumwa anaiba data za AU watu wanajadili mambo ya nchi zao.
U ought to be out of ................., huo ushalawadu una husu nini which is vital to USA
 
If I ask you for a reference to show dependence among Africa is a two way traffic will you be able to present such reference?

Me crying? Ok.

By looking at your key things are you implying that our president aim to transform Tanzania into industrial state is not doable?
 
To be independent is not an overnight issue.
Kwenye industrialisation kuna vitu vingi
1. Tools za kukuwezesha kuwa indepent ,this is a different thing with what we are trying to do now
Which is
2. Processing or value addition of what we produce e.g. hayo mafuta ya alizetti, kuna issue ya sukari, kuna issue ya nyuzi za pamoja n.k.
3. Production of the raw material we need iwe alizetti, mawese, pamba, miwa n.k
So understand we are on a journey , play you part not asking if it "doable" ask if it is achievable
 
Hawa jamaa kweli maboya....In short Trump kawaweza... Na angeendelea kuwa rais wangejamba sana wachina mana Xiaomi wamewekwa na wao kwenye list ya HUAWEI japokuwa wao kidogo wamefanyiwa unafuu
Hii kwako inakusaidia vipi? Unafaidikaje kampuni za China zikifanyiwa figisu za kibiashara?
 
,,, kwa dhulma na mauwaji ya kikatili waloyafanya dhidi ya nchi za kiislamu hayo ndio malipo yake,, na bado kitawapata kibwa zaidi ya hilo.
Dhuluma gani wamezifanyia nchi za kiarabu? Mauaji gani ya kikatili wameyafanya dhidi ya waarabu? Obama alivyovamia Libya mliufyata kwa sababu eti ni muislamu mwenzenu na mkashabikia kuuwawa kea Ghadafi mwislamu mwenzenu. Hebu Mambo mengine bora tukae kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…