China yatangaza vita na nchi za Magharibi

Extradition bill n nn mkuu!!?

Kwa ninavojua sababu nyingine inayozidisha maandamano n pamoja na washutumiwa wa makosa ya jinai kupelekwa mainland china ,kitu ambacho hong kong people hawataki hata kusikia
Hapana! Hiyo siyo sababu ya HK kuandamana. Sababu ya HK kuandamana ni extradition bill. Nipe facts siyo opinion.
 
Extradition bill n nn mkuu!!?

Kwa ninavojua sababu nyingine inayozidisha maandamano n pamoja na washutumiwa wa makosa ya jinai kupelekwa mainland china ,kitu ambacho hong kong people hawataki hata kusikia
Waandamanaji walikuwa na 5 demands zilizowafanya waandamane na kuendelea na maandamano. Ambayo ni haya;
  1. To withdraw the extradition bill
  2. To stop labeling protesters as “rioters”
  3. To drop charges against protesters
  4. To conduct an independent inquiry into police behavior
  5. To implement genuine universal suffrage for both the Legislative Council and the Chief Executive

Extradition inahusu hali ya kuomba kumuhamisha mtu kutoka kwenye Taifa lake na kwenda kuchukuliwa hatua za kisheria kwenye Taifa lililomuomba kama amefanya uhalifu. Hii hali inafanyika kukiwa na maridhiano ya kisheria baina ya hizo nchi.

Hilo jambo kupelekwa HK si la kwanza Duniani! Nchi nyingi tu hii mikataba wanayo. China imeingia mikataba ya kisheria ya namna hii na nchi 58. Hata HK mkataba wa namna hii haukuwa unahusu Mainland China peke yake, bali zilikuwepo nchi nyenginezo.

Sababu ya Extradtion kuletwa HK ni kwa sababu raia wake wakifanya makosa katika nchi nyengine au hata mainland China wakikimbilia HK tu hawawezi kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mfano mzuri ni kijana wa Hk kaenda kula bata na mpenzi wake Taiwan akamuulia huko huko. Kisha akarudi HK. Uchunguzi wa Taiwan ukaonyesha kijana wa HK ndiye aliyefanya mauaji na wanamtaka huyo muuaji kwa sababu mauaji yamefanyika kwenye ardhi yake.

Lakini HK haijaingia extradition treaty na nchi nyengine. Wazazi wa yule mwanamke aliyeuliwa wakawa wanataka haki itendeke. Ndiyo ukaletwa huo mswada wa extradition. Lakini raia wameukataa kisa yupo mainland China na kutaka huo mswada wote uondolewe.

Haijatokea raia hata mmoja wa mji wa HK kwenda kushtakiwa mainland China tangu HK ilivyorudi China 1997.

Halafu HK yote wanategemea huduma ya maji kutoka mainland China! HK yote wanategemea huduma ya umeme kutoka mainland China! Yaani siku Xi JinPing akitamka maneno mawili tu! KA...TA.. Hong Kong yote inakuwa kijiji.

Haya tuambie! Ni lini China kaingiza mifumo yake HK mpaka imekuwa chanzo cha maandamano?
 
Lakini HK mkuu cyo nchi ....ni sehemu ya China Ila imekua na system yake kutokana na kutawaliwa Sana na mwingereza!! Na UK waliihandle over kwa China....so n China under two system.....

Ukiangalia hayo madai ya waandamanaj wa HK Hamna hata moja linaloenda kutimizwa.....lableling ya CGTN na China kama wafanyafujo au wanavunja amani iko pale pale

Nasasa Mainland China inakuja na security law....nafikir washaanza kugive up
 
Saga la Hong Kong lingekuwa Middle East au Afrika ni muda sana washawekewa vikwazo, matamko kibao, Majenerali washajitangaza watawala!.
Tatizo linafanyikia China hakuna namna inabidi watu wawe wapole, wakikumbuka ya Tiananmen Square Massacre!.
Ni kweli na limekua fueled na Western media na influence....lakin hawana namna ya kuingilia moja kwa moja kama wanavofanya middle East kwa sabab CHINA n nchi ya kiume n kama tu wasivoweza kuingilia RUSSIA.....

CHA AJABU RUSSIA WANAWEZA KUIWEKEA sunction Ila China hawawezi
 
Kwa mini nao China wasiwachonganishe marekani.kukubali kuchonganishwa mana ake unazidiwa akili na mchonganishi.

Wachina wachochee majimbo ya Merikani yenye raia wengi wenye asili ya Kispaniola, wa-instigate vile vile raia wa Puorto Rico wamalizie Hawaii.

Tukija kwa majimbo ya Uchina au Wachina wachache watakao bainika wanatumiwa na mabeberu kwa lengo la kuigawa China ili hisitawalike - watu wanyongwe adhalani,majimbo yatakayo g'ang'ania kujitenga kutokana na imani za kidini basi watu wote wa jimbo lote walazimishwe kuhamia majimbo mengine ya Uchina, jimbo lao wahamie wenyeji kutoka kusini mwa China. Serikali ya China itapaswa kuchukuwa hatua kali marudufu ya hatuwa iliyo chukuwa dhidi ya wanafunzi mwaka 1988 kwenye uwanja wa Tia-men Square - choko choko zinazo kuwa instigated na majasusi wa kubeberu huko Hong Kong na jimbo la Xiang zinapaswa kuwa dealt with iron fist without Mercy.
 
China is socialist & Hong Kong is capitalist mpaka hapo unaweza ona chanzo cha hong kong kuandamana

Kwani Waingereza walipo rudisha Hong Kong mikononi mwa China makubaliano yao yalisema ni miaka mingapi China itaendelea kuvurumia One Nation two systems?

Mbona England haikubali Scotland wala Wales ziwe huru na kuongozwa na system zao - sija wahi kusikia Amerika ikimkalia kooni Waziri mkuu wa Uingereza akimlazimisha azipatie uhuru Scotland,Wales na North Ireland? Pamoja na mama yake Trump kuwa mwenye asili ya Scotland lakini sijawahi kusikia ana wstetra esjomba zake wa Scotland badala yake yuko busy inajaribu ku-indtigate rebellion Hong Kong,Macao,Xiang,Tibet pamoja na Taiwan.
 
Rais wa China Xi-jinping ameonya nchi yeyote inayojaribu kuigawanya china basi itaipiga vita kuwasagasaga hadi mavumbi

View attachment 1234097
Hii ndyo china

Report source-The hill
View attachment 1234100

Ni kina nani wanataka kuigawa china!!?

Mawazo yangu hapa!!
America and western countries!!
America (USA) imekua mstari wa mbele kuhamasisha, kuchochea mizozo ya

1.Taiwan
Marekan imekua ikijaribu kuzuia taiwan kuungana na mainland china, china ina amini Taiwan ni sehem yake!!..mzozo unakua mkubwa zaid pale marekan ilipoahidi kuipa siraha taiwan za kupambana na china

2.maandamano ya Hong Kong
Ni miezi mingi sasa maandamano na vurugu za hong kong hazionekani kukoma, kwa kile kinachodaiwa ni kuingiliwa kwa uhuru na democracia ya watu wa hong kong na serikali kuu ya mainland china
Ambapo marekani wanaonekana n wahusika wakubwa wa maandamano makubwa hayo....

Xinjiang region
Western media bbc, cnn, dw, na middle east al Jazeera ,uturuki zimekua zikiituhumu china kwa kuigandamiza jamii ya kundi dogo la wachina Uighurs ambao wana asili ya uturuki waishio jimbo la xinjian!!... China imewasweka kwenye concentration camp ikidai inawapa elimu kuondoa fikira za kigaidi
Ambapo china miaka ya nyuma imekuwa ikisumbuliwa na ughaidi katika jimbo hilo
Watu watachapika sana wahindi walipigwa shotokan wakadedi 20 happy hakuna ndege vifaru Wala silaha za maangamizi
 
Kwani Waingereza walipo rudisha Hong Kong mikononi mwa China makubaliano yao yalisema ni miaka mingapi China itaendelea kuvurumia One Nation two systems?

Mbona England haikubali Scotland wala Wales ziwe huru na kuongozwa na system zao - sija wahi kusikia Amerika ikimkalia kooni Waziri mkuu wa Uingereza akimlazimisha azipatie uhuru Scotland,Wales na North Ireland? Pamoja na mama yake Trump kuwa mwenye asili ya Scotland lakini sijawahi kusikia ana wstetra esjomba zake wa Scotland badala yake yuko busy inajaribu ku-indtigate rebellion Hong Kong,Macao,Xiang,Tibet pamoja na Taiwan.
Mkuu ,uko vizuri katika kuwianisha Mambo!! Hiyo yote n two standard for the same thing!!...
 
Rais wa China Xi-jinping ameonya nchi yeyote inayojaribu kuigawanya china basi itaipiga vita kuwasagasaga hadi mavumbi

View attachment 1234097
Hii ndyo china

Report source-The hill
View attachment 1234100

Ni kina nani wanataka kuigawa china!!?

Mawazo yangu hapa!!
America and western countries!!
America (USA) imekua mstari wa mbele kuhamasisha, kuchochea mizozo ya

1.Taiwan
Marekan imekua ikijaribu kuzuia taiwan kuungana na mainland china, china ina amini Taiwan ni sehem yake!!..mzozo unakua mkubwa zaid pale marekan ilipoahidi kuipa siraha taiwan za kupambana na china

2.maandamano ya Hong Kong
Ni miezi mingi sasa maandamano na vurugu za hong kong hazionekani kukoma, kwa kile kinachodaiwa ni kuingiliwa kwa uhuru na democracia ya watu wa hong kong na serikali kuu ya mainland china
Ambapo marekani wanaonekana n wahusika wakubwa wa maandamano makubwa hayo....

Xinjiang region
Western media bbc, cnn, dw, na middle east al Jazeera ,uturuki zimekua zikiituhumu china kwa kuigandamiza jamii ya kundi dogo la wachina Uighurs ambao wana asili ya uturuki waishio jimbo la xinjian!!... China imewasweka kwenye concentration camp ikidai inawapa elimu kuondoa fikira za kigaidi
Ambapo china miaka ya nyuma imekuwa ikisumbuliwa na ughaidi katika jimbo hilo
Hiyo concentration camp inawafaa sana viongzi wa ccm na vibaraka wao.
 
Umewaza vizuri sana. Urusi pekee ndiye ana ubavu wa kuichonganisha marekani kwa mfano kuwapandikizia rais.

Uchonganishi siyo kazi rahisi sana. Mifumo ya nchi za magharibi ni kuwa raia wa kawaida kabisa ndiye mwenye nguvu kuliko chombo chochote. Lakini nchi zetu za kiafrika na kiasia wanatukuza kiongozi au chama tawala.

Mfumo unaotukuza kiongozi fulani au chama ni rahisi sana kuuchonganisha. Sababu ni kuwa hakuna namna yoyoye kiongozi mkuu au.chama tawala kitakosa kuchukiwa.
Kweli kabisa
 
Jiulize mbona Somaliland had leo haitambuliki
Hahaha haya mambo ya kutambulika nayo sometimes ni ujinga tu, Somalia ipo, wasomali wapo, sasa kwanini wahitaji kutambuliwa?! Na ninani awatambue.
Sisi Africa tunatambua kuna taifa la Somalia, na hakuna taifa linasogelea himaya yao licha yakujidai hawawatambui.
Mipaka yao iko salama kabisa, tia mguu ukatwe.
 
Hong kong ni mojawapo wa maeneo yanaunda China, ila kutokana na mambo ya kikoloni, eneo hili likaangukia chini ya usimamizi wa Uingereza. Baadae kwenye miaka ya 90's Uingereza ilifanya maafikiano maalum na China na kuishia kukabidhi uangalizi wa Hong Kong kwa Uchina. Ila Hong ni kisiwa ambacho kiko huru kuendesha mambo yake ya ndani na kikiwa na katiba yake (grand law). Ila linavyokuja suala la usalama na mambo ya nje, basi Uchina lazima ahusishwe. Uhusiano uliopo kati ya Hong Kong na China ni karibia na uhusiano uliopo kati ya Tanzania bara na Zanzibar.

Back
Top Bottom