jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,634
- Thread starter
- #41
Mkuu ulivojibu nimegundua huna uelewa na nchi ya Somaliland na unachanganya na Somalia...Hahaha haya mambo ya kutambulika nayo sometimes ni ujinga tu, Somalia ipo, wasomali wapo, sasa kwanini wahitaji kutambuliwa?! Na ninani awatambue.
Sisi Africa tunatambua kuna taifa la Somalia, na hakuna taifa linasogelea himaya yao licha yakujidai hawawatambui.
Mipaka yao iko salama kabisa, tia mguu ukatwe.
Kifupi Somalia imegawanyika katika state tatu Somalia ,puntland na Somaliland....hizi nchi mbili puntland na Somaliland zilijitangazia uhuru wake kutoma main Somalia baada ya migogoro na Vita vya miaka mingi
So Zina miji mikuu yake ,serikali yake na jeshi lake ingawa bado hazijatambulika na UN