jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,634
Rais wa China Xi-jinping ameonya nchi yeyote inayojaribu kuigawanya china basi itaipiga vita kuwasagasaga hadi mavumbi
Hii ndyo china
Report source-The hill
Ni kina nani wanataka kuigawa china!!?
Mawazo yangu hapa!!
America and western countries!!
America (USA) imekua mstari wa mbele kuhamasisha, kuchochea mizozo ya
1.Taiwan
Marekan imekua ikijaribu kuzuia taiwan kuungana na mainland china, china ina amini Taiwan ni sehem yake!!..mzozo unakua mkubwa zaid pale marekan ilipoahidi kuipa siraha taiwan za kupambana na china
2.maandamano ya Hong Kong
Ni miezi mingi sasa maandamano na vurugu za hong kong hazionekani kukoma, kwa kile kinachodaiwa ni kuingiliwa kwa uhuru na democracia ya watu wa hong kong na serikali kuu ya mainland china
Ambapo marekani wanaonekana n wahusika wakubwa wa maandamano makubwa hayo....
Xinjiang region
Western media bbc, cnn, dw, na middle east al Jazeera ,uturuki zimekua zikiituhumu china kwa kuigandamiza jamii ya kundi dogo la wachina Uighurs ambao wana asili ya uturuki waishio jimbo la xinjian!!... China imewasweka kwenye concentration camp ikidai inawapa elimu kuondoa fikira za kigaidi
Ambapo china miaka ya nyuma imekuwa ikisumbuliwa na ughaidi katika jimbo hilo