China yaipiga nyundo Marekani

China yaipiga nyundo Marekani

Swali Lako Linaonyesha Huna Imani Na Uelewa Wangu Kuhusu Haya Mambo Ya Tech Na Diplomasia Ya Kiuchumi Duniani,kwaio Hata Nikikujibu Huwezi Kuniamini Mkuu,kama Ulivyoonyesha Hapo Mapema,
Kwamba We Hujui Huaweni Ina Deal Na ELECTRONIC&TELECOMMUNICATIONS
( IT,SC,ICT) Etc,
Na Hizo Ndio Backbornes Za Operations Za Huawei,
Baada Ya Ban Saizi Wameingia Hadi Kwenye Agritech,yaani Wanashift Kutoka Kutegemea Bznes Zilizo Na Migogoro.
SOFTWARE Yao Tu Ya Harmony OS Ni Imefeli Kuingia Soko La Kimataifa Sasa Ww Endelea Kuwatetea.
Jibu swali acha pempele nyingi
 
USA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
Sio kwa China na wala sio safari hii,na wala sio kipindi hiki wote tuna macho tunaona.Ukraine bado kinaumana
 
USA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
wacha kelele wewe
 
USA Hachelewi Kuja Na
TARIFFS PRO MAX
Utawasikia Tu China Wakiomba Poo,
USA Wanajivunia Wananchi Wa Usa Kuwa Na Uwezo Mkubwa Wa Kuspend Hela Kuliko Nchi Yoyote Duniani (yaani Ni Watu Wa Anasa),sasa Ukipigwa Tariff Kupeleka Bidhaa USA Inakula Kwako,tofauti Na Wao Ukiwapiga Tariffs Haziwabani,maana Wana Alternatives Nyingi.
Marekani ilipiga tariffs bidhaa za China hadi kufikia 140%

Mwisho wa siku Marekani wenyewe ndio wakaiomba China wakae mezani

Silaha ya tariffs haina chochote
 
USA Hawajaamua Kutumia Full Force Wakiamua Hivyo Hakuna Wakupinga, Huwa Wanatarget Makampuni Yanayoagiza Mafuta Hadi Mwenye Meli,hawajafikia Huko Safari Hii,
BRICS Na Umoja Wao Wako Wapi?
LAZIMA MKUBALI USA NI KAMA UPEPO YUPO HADI CHUMBANI KWAKO,NA HATA SEHEMU ZAKO ZA **
ANA MKONO MREFU SANA,NI MUNGU TU NDIO ANAWAZIDI KWA MBALI.
Hakuna wa kuizuia China kununua mafuta Russia na Iran

Halafu mbona bado Marekani yenyewe inanunua uranium kwa ajili ya nuclear fuel, mbolea, chemicals kutoka Russia?

Na EU bado wananunua gesi kutoka Russia?

Hizi double standard wanazitolea wapi? Mataifa ya Magharibi yana unafiki sana
 
Kwani alianza Jana au juzi kufanya hizo sanctions!? Mbona India na china Bado Wana endelea kununua hayo mafuta in short USA now days ni Simba wa kuchora hakuna anaye muogopa

Marekani na EU wakiungana kwenye vikwazo dhidi ya China, China hana ujanja. Zaidi ya 70% ya soko la bidhaa za China, katika thamani, lipo USA na Ulaya.
 
Marekani na EU wakiungana kwenye vikwazo dhidi ya China, China hana ujanja. Zaidi ya 70% ya soko la bidhaa za China, katika thamani, lipo USA na Ulaya.
Wao wenyewe wanategemea soko la China.

Uzuri wa China kwa sasa soko lake kubwa ni Global South Countries

20240505_202622.jpg
 
HUAWEI NA ZTE Wako Wapi?
Unajua Ni Makampuni Mangapi Ya Kichina Yanakufa Kwa Vikwazo Na Bans Za USA?
Mengi tu Mkuu, na yanayo kataa yana ambiwa yawauzie USA code za program/software zao - mfano kampuni ua TIK TOK na nyingine ambazo zinaonekana kufanya vizuri kibiashara, Wamerika wana wivu sana na roho mbaya, hawataki ushindani wa biashara, wako radhi hata kukufanyia hujuma, mfano: kulipuliwa kwa bomba la Gesi la Nord 1&2, hivi sasa naona wameanza kuizonga zonga hata BRICS wana wasi wasi kwamba BRICS ikifanikiwa katika harakati/malengo yao basi ufanyani biashara kwa kitumia Dollar hakutakuwa na umuhimu wowote, hicho kitu kinawatisha sana sana USA na Cabals wake.

Ni hivi: Kama Urusi, North Korea, China na Iran hawatashirikiana kukomesha ufedhuri na hujuma za Mataifa ya magharibi, basi Mataifa mengi Duniani yataendelea kunyanyaswa na mataifa ya magharibi, vita ni mbaya lakini wakati mwingine nafikiria kwamba labda conventional war ndiyo inaweza kumaliza jeuri ya Mataifa haya ya magharibi hata kama itakuwa ni Nuclear war let it be, hakuna jinsi Dunia imechoshwa na tabia za mataifa tajwa hapo juu, naona suala hili la Ukraine ndilo western Nations watafanya miscalculation au kimakusudi na kukuta wanaiingiza Dunia kwenye vita ya Nuclear.
 
Marekani na EU wakiungana kwenye vikwazo dhidi ya China, China hana ujanja. Zaidi ya 70% ya soko la bidhaa za China, katika thamani, lipo USA na Ulaya.
Siyo kweli, China unauza bidhaa zake karibu Dunia nzima hata Merikani inaitegemea China kwa mambo mengi tu, FYI China imekuwa na Taifa la pili Duniani kuwa na Uchumi mkubwa siyo kwa bahati mbaya, Chinese counts a lot katika uchumi Duniani, USA political rhetoric againist China notwithstanding.
 
Wao wenyewe wanategemea soko la China.

Uzuri wa China kwa sasa soko lake kubwa ni Global South Countries

View attachment 3433231
Si ndio hapo mkuu, mambo mengine ukiyasikiliza ndio utajua kwamba propaganda za media za magharibi zilifanikiwa ku-brainwash baadhi ya wanadamu Duniani na kwa bahati mbaya wana imani kwamba wanacho ambiwa ni Gospel truth.
 
Hakuna wa kuizuia China kununua mafuta Russia na Iran

Halafu mbona bado Marekani yenyewe inanunua uranium kwa ajili ya nuclear fuel, mbolea, chemicals kutoka Russia?

Na EU bado wananunua gesi kutoka Russia?

Hizi double standard wanazitolea wapi? Mataifa ya Magharibi yana unafiki sana
Well said, umesahau titanium mkuu.
 
Umesema vyema mkuu

Sijui Westerners wanapata wapi ujasiri wa kuyakataza mataida mengine ilhali wao ni wateja wa Russia!
Halafu cha ajabu mkuu wala hao Western USA Cabals wala hawana mandate yoyoye ya UNO ya ku-
impose matakwa yao kwa Mataifa mengine!!

Wanajihamuria tu kutegemea siku hiyo wamehamukaje, ajabu sana sana, kingine nikwambie kitu mkuu, jeuri jeuri zao na kijisikia ndio kutakuja kuleteleza/sababisha WW3 muda si mrefu kuanzia sasa.

Habari nyingine za kuaminika zinasema Uingereza na EU wana mpango kabambe wa kulipua Meli zote wanazo dhania zimebeba mafuta kutoka Urusi hivyo lengo lao nikutaka kujumu mataifa yanayo nunua mafuta
kwa wingi kutoka Urusi, mfano: China, India na Mataifa ya Amerika Kusini, sasa kadhia hii ndiyo inaweza kusababisha WW3 maanake sioni kama Mataifa hayo yataendelea kukubali kuendelea kunyanyaswa na mataifa ya magharibi indefinitely, oh yes watafika sehemu wakate ushauri kwamba they have had enough, let what comes may.
 
Nedago umekutana na wanaojua zaidi yako mwenyew umeamua kukimbia

Wakati mwingine tupunguze mihemko kwa vitu tusivyovijua kiundani
 
Back
Top Bottom