China yafanikiwa kupeleka kifaa katika sayari ya 'Mars'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,052
9,952
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'

Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi

Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya 'Mars' na kitakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudishwa duniani

---
China has successfully landed its rover on Mars, according to state media, becoming the second country in history to have a rover on the red planet.

The rover, Zhurong, named after a god of fire in Chinese mythology, landed Saturday morning at the pre-selected area in Utopia Planitia on Mars, according to the state-run Xinhua news agency.

The six-wheel solar-powered Zhurong rover weighs about 240 kilograms (529 pounds) and carries six scientific instruments. It will be later deployed from the lander for a three-month mission in search of signs or evidence of ancient life on Mars' surface.

The Tianwen-1 Mars orbiter will relay its signal to the rover during its mission and then conduct a global survey of the planet for one Martian year. The probe has spent three months in orbit reconnoitering the landing area before releasing the rover to the surface.

Tianwen-1 was launched by a Long March 5 rocket from the Wenchang space launch center in Hainan on July 23 last year, and spent seven months en route to Mars before entered its orbit in February.

The spacecraft sent back its first photo of the planet from more than a million kilometers (621,371 miles) away.

The probe is "going to orbit, land and release a rover all on the very first try, and coordinate observations with an orbiter," the scientific team behind Tianwen-1 said before the rover's landing.

"No planetary missions have ever been implemented in this way," the team said.

Tianwen-1 is one of three international Mars missions that launched last summer, along with NASA's Perseverance rover, which landed on Mars in February, and the United Arab Emirates' Hope Probe, which entered orbit around Mars, also in February. Unlike the US and China missions, the UAE probe is not intended to land on Mars -- just study the planet from orbit.

All three missions launched around the same time due to an alignment between Earth and Mars on the same side of the sun, making for a more efficient journey to the red planet.
Tianwen-1, whose name means "Quest for Heavenly Truth," hopes to gather important information about the Martian soil, geological structure, environment and atmosphere, and to search for signs of water.

China's ambitious space program triggered headlines last weekend when an out-of-control 40,000-pound rocket plunged into the Indian Ocean -- triggering a rebuke from NASA for failing to "meet responsibility standards regarding (its) space debris."

The Long March 5B rocket had launched part of China's new space station into orbit in late April and had been left to hurtle through space uncontrolled until Earth's gravity pulled it back in.
 
Marekani amuache tu china si kwa speed hii ya space exploration program
 
Dunia ina maslahi yani na hii sayari..?! Kwamba hapa duniani tumejaa, Wazungu waache usenge waje hata Tabora pale waishi hakujajaa bado kuna mapori mengi tu hakuna makazi! Badala wawekeze nguvu hizo kupeleka maji sehemu za majangwa kama Sahara Desert waishi ni maeneo wazi kabisa waje waishi... N'way haka ka sayari inasemekana kana rasilimali ya madini ya nishati bana sasa Sahara Desert watajimba nini na hawa jamaa wanapenda kukaa sehemu zenye rasilimali
 
Marekani amuache tu china si kwa speed hii ya space exploration program
Mchina hana lolote mkuu kwa US, Marekani ni mkongwe sana kwenye tafiti za anga za juu miaka sasa na sasa ana technologies nyingi mno za kumuwezesha kufanya tafiti za anga za juu kwa urahisi mno, Mchina anapita mule mule alipotangulia mwenzie..

Mmarekani alituma Rover moja hivi ikaenda tafiti udongo wa kule kuona kama unaweza kua na dalili za maji na mambo mengine..

Mchina alivyo fala akaingia gharama akatuma chombo kikaenda kupanda pamba kule si iliishia kuota na kufa ile pamba wenzie hawakupanda hata mtama kule wala hili wazo kama walikua nalo, na sote tunajua ni dunia pekee ndo ina support uhai wa vyote living things, Na kule Mars hakuna mahitaji yote ya kuwezesha uhai hasa kitu muhimu ambacho ni gesi ya Oxygen..
 
Ukiona mpaka mataifa makubwa yanawekeza matrillion ya pesa huko mars basi ujue hiyo safari inaweza ikawa na utajiri mkubwa wa rasilimali.
Yeah ni kweli! Ila tafiti zao zitaishia Mars tu, kuna kale ka sayari kanaitwa "55 Cancri e" ni almasi tupu, kanakadiliwa kuwa na utajiri wa $26.9 nonillion (26.9 plus 30 zeros)

Tatizo linakuja muda wa kufikia hii sayari kwa technologia na speed iliyopo kwa sasa hivi ya kusafiria anga za juu itachukua miaka 400 kuifikia hii sayari ya almasi
 
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'

Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi

Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya 'Mars' na kitakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudishwa duniani

---
China has successfully landed its rover on Mars, according to state media, becoming the second country in history to have a rover on the red planet.

The rover, Zhurong, named after a god of fire in Chinese mythology, landed Saturday morning at the pre-selected area in Utopia Planitia on Mars, according to the state-run Xinhua news agency.

The six-wheel solar-powered Zhurong rover weighs about 240 kilograms (529 pounds) and carries six scientific instruments. It will be later deployed from the lander for a three-month mission in search of signs or evidence of ancient life on Mars' surface.

The Tianwen-1 Mars orbiter will relay its signal to the rover during its mission and then conduct a global survey of the planet for one Martian year. The probe has spent three months in orbit reconnoitering the landing area before releasing the rover to the surface.

Tianwen-1 was launched by a Long March 5 rocket from the Wenchang space launch center in Hainan on July 23 last year, and spent seven months en route to Mars before entered its orbit in February.

The spacecraft sent back its first photo of the planet from more than a million kilometers (621,371 miles) away.

The probe is "going to orbit, land and release a rover all on the very first try, and coordinate observations with an orbiter," the scientific team behind Tianwen-1 said before the rover's landing.

"No planetary missions have ever been implemented in this way," the team said.

Tianwen-1 is one of three international Mars missions that launched last summer, along with NASA's Perseverance rover, which landed on Mars in February, and the United Arab Emirates' Hope Probe, which entered orbit around Mars, also in February. Unlike the US and China missions, the UAE probe is not intended to land on Mars -- just study the planet from orbit.

All three missions launched around the same time due to an alignment between Earth and Mars on the same side of the sun, making for a more efficient journey to the red planet.
Tianwen-1, whose name means "Quest for Heavenly Truth," hopes to gather important information about the Martian soil, geological structure, environment and atmosphere, and to search for signs of water.

China's ambitious space program triggered headlines last weekend when an out-of-control 40,000-pound rocket plunged into the Indian Ocean -- triggering a rebuke from NASA for failing to "meet responsibility standards regarding (its) space debris."

The Long March 5B rocket had launched part of China's new space station into orbit in late April and had been left to hurtle through space uncontrolled until Earth's gravity pulled it back in.

Mchina yuko vizuri.

Kwamba atairudisha hiyo Rover duniani hii itakuwa habari mpya ambayo NASA hajathubutu.

Kimsingi kuna uwezekano mkubwa mchina akawa na ka urongo kakutosha kwenye hii habari.

Yetu macho na masikio.
 
sisi bado tupo busy kujenga mabati makaburini
Bado tupo busy kusambaza umeme vijijini tena wa msaada (REA)! Na kuna sehemu bado kuna visima mifugo na binadamu wana share, Tunasubiri wahisani watupe msaada tuchimbe visima vya maji safi na salama..
 
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'

Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi

Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya 'Mars' na kitakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudishwa duniani

---
China has successfully landed its rover on Mars, according to state media, becoming the second country in history to have a rover on the red planet.

The rover, Zhurong, named after a god of fire in Chinese mythology, landed Saturday morning at the pre-selected area in Utopia Planitia on Mars, according to the state-run Xinhua news agency.

The six-wheel solar-powered Zhurong rover weighs about 240 kilograms (529 pounds) and carries six scientific instruments. It will be later deployed from the lander for a three-month mission in search of signs or evidence of ancient life on Mars' surface.

The Tianwen-1 Mars orbiter will relay its signal to the rover during its mission and then conduct a global survey of the planet for one Martian year. The probe has spent three months in orbit reconnoitering the landing area before releasing the rover to the surface.

Tianwen-1 was launched by a Long March 5 rocket from the Wenchang space launch center in Hainan on July 23 last year, and spent seven months en route to Mars before entered its orbit in February.

The spacecraft sent back its first photo of the planet from more than a million kilometers (621,371 miles) away.

The probe is "going to orbit, land and release a rover all on the very first try, and coordinate observations with an orbiter," the scientific team behind Tianwen-1 said before the rover's landing.

"No planetary missions have ever been implemented in this way," the team said.

Tianwen-1 is one of three international Mars missions that launched last summer, along with NASA's Perseverance rover, which landed on Mars in February, and the United Arab Emirates' Hope Probe, which entered orbit around Mars, also in February. Unlike the US and China missions, the UAE probe is not intended to land on Mars -- just study the planet from orbit.

All three missions launched around the same time due to an alignment between Earth and Mars on the same side of the sun, making for a more efficient journey to the red planet.
Tianwen-1, whose name means "Quest for Heavenly Truth," hopes to gather important information about the Martian soil, geological structure, environment and atmosphere, and to search for signs of water.

China's ambitious space program triggered headlines last weekend when an out-of-control 40,000-pound rocket plunged into the Indian Ocean -- triggering a rebuke from NASA for failing to "meet responsibility standards regarding (its) space debris."

The Long March 5B rocket had launched part of China's new space station into orbit in late April and had been left to hurtle through space uncontrolled until Earth's gravity pulled it back in.
Mnama hii ni tofaut na ile iliyodondoka juzi????
 
Mchina hana lolote mkuu kwa US, Marekani ni mkongwe sana kwenye tafiti za anga za juu miaka sasa na sasa ana technologies nyingi mno za kumuwezesha kufanya tafiti za anga za juu kwa urahisi mno, Mchina anapita mule mule alipotangulia mwenzie..

Mmarekani alituma Rover moja hivi ikaenda tafiti udongo wa kule kuona kama unaweza kua na dalili za maji na mambo mengine..

Mchina alivyo fala akaingia gharama akatuma chombo kikaenda kupanda pamba kule si iliishia kuota na kufa ile pamba wenzie hawakupanda hata mtama kule wala hili wazo kama walikua nalo, na sote tunajua ni dunia pekee ndo ina support uhai wa vyote living things, Na kule Mars hakuna mahitaji yote ya kuwezesha uhai hasa kitu muhimu ambacho ni gesi ya Oxygen..
Mkuu kama maelezo yako yapo sawa, kuota tu kwa pamba ni kielelezo cha uwepo angalau wa uhai kwa kiasi fulani...

Pia tafiti kubwa au za kisayansi na ''kitekinolojia" hasara haiepukiki na ni ujinga mkubwa kuamini kuwa hakutakuwa na failure in btn
 
Na mpaka tafit ikifikia hatua ya kuambiwa kuwa imefanikiwa huko nyuma kuna majaribio mengi ambayo ni feila na yanagharimu pesa nyingi na ndio maana vyuo vyetu vya kibongo havijisumbuagi na tafit kwa sabab ya gharama
 
Mnama hii ni tofaut na ile iliyodondoka juzi????
Kwanza ile haikufail na yenyewe ilikuwa imepeleka kipande cha space station ikakifikisha sasa baada ya kurudi duniani kikiwa controlled kikarudi bila controlled, na nadhani wanafanya kusudi hawa wachina hata mwaka 2018 ilitokea hivi hivi kwa same mission.
 
Ndio ivo mkuu, 40 light years kufika huko (Yaani wakitengeneza chombo chenye speed sawa na speed ya mwanga basi kitachukua miaka 40), Wapo wanakazoom tu kwenye ma telescopes yao hawana la kufanya..
Ila Mungu ni Mwamba sana
 
Kwanza ile haikufail na yenyewe ilikuwa imepeleka kipande cha space station ikakifikisha sasa baada ya kurudi duniani kikiwa controlled kikarudi bila controlled, na nadhani wanafanya kusudi hawa wachina hata mwaka 2018 ilitokea hivi hivi kwa same mission.
Na haya madude kule juu si huwa yanaelea inamaana huwa wanayafunga GPS ili wajue lipo wap wakienda tena bila shaka.
 
Yeah ni kweli! Ila tafiti zao zitaishia Mars tu, kuna kale ka sayari kanaitwa "55 Cancri e" ni almasi tupu, kanakadiliwa kuwa na utajiri wa $26.9 nonillion (26.9 plus 30 zeros)

Tatizo linakuja muda wa kufikia hii sayari kwa technologia na speed iliyopo kwa sasa hivi ya kusafiria anga za juu itachukua miaka 400 kuifikia hii sayari ya almasi
Kuna hata kimondo kimetengenezwa kwa almas wanasema wakizichimba wakazileta duniani basi mkate utakuwa na thamani kuliko almas maana ni nyingi mno.
 
Back
Top Bottom