China wameshidwa ujamaa

China wameshidwa ujamaa

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
kuna baadhi ya watanzania wanataka kuleta utapeli kwa watanzania
china.ni taifa lilikuwa la kijamaa limeshidwa ujamaa pia tanzania ilikuwa nchi ya kijamaa imeshindwa,lkn kuna baadhi ya watnzania wachache wanataka kuwahadaa watanzania kuwa wanataka kuturudisha kwenye ujamaa
Nchi karibu zote zilizokuwa za kijamaa zimeshindwa,nchi pekee iliyobaki ya kijamaa ni korea kaskazini pekee,sasa hawa wanasiasa wanataka kuturudisha kwenye ujamaa wanafikiri vizuri kweli?
wanasiasa kwa sasa inabidi waelekeze nguvu zao kutetea rasm ya mzee warioba ndio inatoa dira.nzuri ya taifa letu,sio kila mtu aje na mipango yake
 
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?
 
Ujamaa hatuwezi huo ni unafki wa viongozi
Sisi tunataka kiongozi akataye zuia rushwa, ufisadi na awe mmzalendo kweli wa nchi yake
Hatutaki rais mfanyabiashara
 
ndo hapo sasa.kwanza tuambie ujamaa ni nini ndo tujadili hapa.
 
ndo hapo sasa.kwanza tuambie ujamaa ni nini ndo tujadili hapa.

wanaotaka kurudisha ujamaa wanatunganya kuwa ujamaa ni haki sawa kwa wote,ni furusa sawa kwa wote lkn ukiangalia kwa jicho la tatu wanatudanganya
 
kuna baadhi ya watanzania wanataka kuleta utapeli kwa watanzania
china.ni taifa lilikuwa la kijamaa limeshidwa ujamaa pia tanzania ilikuwa nchi ya kijamaa imeshindwa,lkn kuna baadhi ya watnzania wachache wanataka kuwahadaa watanzania kuwa wanataka kurudisha kwenye ujamaa
Nchi karibu zote zilizokuwa za kijamaa zimeshindwa,nchi pekee iliyobaki ya kijamaa ni korea kaskazini pekee,sasa hawa wanasiasa wanataka kuturudisha kwenye ujamaa wanafikiri vizuri kweli?
wanasiasa kwa sasa inabidi waelekeze nguvu zao kutetea rasm ya mzee warioba ndio inatoa dira.nzuri ya taifa letu,sio kila mtu aje na mipango yake
Wameshindwa wapi?

Socialism with Chinese characteristics, meaning socialism adapted to Chinese conditions, is the official ideology of theCommunist Party of China-(CPC) based uponscientific socialism. This ideology supports the creation of a-socialist market economydominated by the public sector since China is in the-primary stage of socialism. The Chinese government maintains that it has not abandoned-Marxism-but has developed many of the terms and concepts of Marxist theory to accommodate its new economic system. The CPC argues that socialism is compatible with these economic policies. In current Chinese Communist thinking, China is in the primary stage of socialism—a view which explains the Chinese government's flexible economic policies to develop into an industrialized nation.
 
wanaotaka kurudisha ujamaa wanatunganya kuwa ujamaa ni haki sawa kwa wote,ni furusa sawa kwa wote lkn ukiangalia kwa jicho la tatu wanatudanganya
Umesema China wameshindwa ujamaa weka ushahidi basi.
 
Wameshindwa wapi?

Socialism with Chinese characteristics, meaning socialism adapted to Chinese conditions, is the official ideology of theCommunist Party of China-(CPC) based uponscientific socialism. This ideology supports the creation of a-socialist market economydominated by the public sector since China is in the-primary stage of socialism. The Chinese government maintains that it has not abandoned-Marxism-but has developed many of the terms and concepts of Marxist theory to accommodate its new economic system. The CPC argues that socialism is compatible with these economic policies. In current Chinese Communist thinking, China is in the primary stage of socialism—a view which explains the Chinese government's flexible economic policies to develop into an industrialized nation.

kuwa mjanja ujamaa wa china ni wa kisanii,warioba alishamaliza kazi na watanzania tulishatoa maoni yetu tanataka tanzania iweje sasa ww bado unataka kujifanya unawaiga wachina?
 
kuwa mjanja ujamaa wa china ni wa kisanii,warioba alishamaliza kazi na watanzania tulishatoa maoni yetu tanataka tanzania iweje sasa ww bado unataka kujifanya unawaiga wachina?
Na hawa Denmark wameshindwa.

The-Social Democrats-(Danish:Socialdemokraterne-or-Socialdemokratiet), is a-social-democratic[4][5]-political party in Denmark. It has been the-major coalition partner-in government since-2011 parliamentary election, with party leader-Helle Thorning-Schmidt-as-Prime Minister. It is the second-largest party in the Danishparliament, the-Folketing, with 47 of 179 seats.
 
Hizo ni rangi mbali mbali kati ya black and white.
 
Hivi China walianzia wapi kabla ya revolution?
 
due to x-stics za ujamaa duniani hakuna nchi yoyote ambayo ni pure socialist

na pia haipo ambayo ni pure capitalist,lakin tunaweza kusema hii nchi n ya kicapitalist au kisocialist kwa kuangalia ina features nyingi za upande gani socialism or capitalism
 
Ujamaa/socialist is a failed ideology. You don't need to be a Rocket Scientist to figure out.
 
Teh teh teh daah!!!

VP MKUU MBONA UMECHEKA? EMBU NIPE LIKE.NIMEPATIA KM NI ALAMA NI A+.ww unafikiri kuna ujamaa dunia hi ya leo?china rusia cuba wote chali.wamebaki n korea na wao hoi bin taaban.huu wa kwetu ujamaa uchwara wa ccm umemaliza rasimali ya taifa na taifa lipo hoi.ona tulivyopigwa bao najirani zetu kenya sbb ya ujamaa uchwara alioshndwa nyerere kwa zaidi ya miaka 20 leo hi kuna mijitu km zzk wanadanganya uma kwa ujamaa uliofeli dunia nzma.
 
Back
Top Bottom