China wameshidwa ujamaa

China wameshidwa ujamaa

Ujamaa ni nini?

ujamaa ni mfumo wa kiuchumi ambao kazi zote za uzalishaji, mgawanyo wa mapato kwa usawa, rasimali za nchi, n.k zinamilikiwa na kuongozwa na serikali kwa niaba ya wananchi pia mfumo huu unalenga kuwa na wananchi wenye usawa ktk kila kitu mfano kule china miaka hiyo walifikia hatua ya kuchangia mke ama mume kutokana na dhana ya usawa, pia ni uchumi ambao umefunga milango yake kwa nchi yoyote kuingiza bidhaa ndani kwa maana nyingine wanatumia walichozalisha pia ni mfumo ambao hauna porojo nyingi za kisiasa na hamna vyama vingi. Ila mfumo huu umefeli kwa kiasi kikubwa kutokana baadhi ya watawala/viongozi kutokuwa waaminifu na baadhi ya vigezo kutotekelezeka
 
mm kawa ufahamu wangu mdogo niliyo nao tanzania tunahitaji nchi ya aina gani ?warioba alishamaliza kazi, kwa wananchi kusema wenyewe ni nchi ya aina gani wanataka,na sio wanasia kama zito kabwe aje amuwe nchi iwe ya kijamaa,ndio maana naona mafanikio makubwa sana ya ukawa kwa kuwa wao kipaumbele chao cha kwanza ni kusimamia moni ya wananchi yalioko kwenye rasm ya warioba

Tume ya Warioba ilisema nchi itakuwa ya kibepari?au mie na wewe tumesoma report tofauti?
 
China kwa sasa ni mixed economy.ujamaa ule wa mwaka 1949 wakati MAO anatawala umekwisha au tuseme umepungua sana.kwa sasa free market economy ndo habari.zimebaki nchi chache ambazo hazitaki ubepari kama north korea
 
Nchi ya kijamaa pekee ni Korea ya Kaskazini kwasasa mfumo wa kijamaa umeshidwa. System yoyote ambayo inategemea mtaji/capital si mfumo wa kijamaa ni wa kibepari. Hata Russia na China wana mfumo wa kibepari na mfano mzuri ni mfumo wa bank dunia nzima zina mfumo mmoja sasa kasoma Korea ya Kaskazini, uwekezaji kama mnakumbuka hata sasa China wana wekeza na kukopesha pia ni uwekezaji. Vyama vya kisiasa vikijiita ujamaa haina maana nchi ina system ya ujamaa. Scandinavia sio nchi za kijamaa ni capitalism angalia kampuni zao za KLM, Shell na nyinginezo zina investors kwenye nchi tofauti na wanatumia capital kujikuza huu ni mfumo wa capitalism.
 
Back
Top Bottom