China tayari imezindua 10G

China tayari imezindua 10G

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,026
Reaction score
828,817
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀
NB: Tudadavue uhalisia wa hii habari
1748479665288.jpg
 
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀View attachment 3349310
Kama tumefika tulipo, huko nako tutafika, ni wakati tu
 
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀View attachment 3349310
sisi hata kujitawala tu tumeshindwa! what a shithole country!!!!!!!
 
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀View attachment 3349310
Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.

China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.

Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.

10G wanamaanisha nini? What will the speeds be in megabits per second?

Kwa maana ya 10 Gbps, 10,000 megabits per second au 10G hii ya branding kama mnayoambiwa simu ina 5G halafu haifikishi hata 600 mbps?

10G ya ukweli hapo una download movie 5 za 2 gb kwa sekunde moja.

10G hiyo ujue inabidi uwe na kazi nayo maalum, kuangalia video za Youtube tu 10G utaivunjia heshima yake.

Mimi nina home network inayo support 10G nyumbani (modem, router, switches mpaka NAS devices, lall 10GB SPF cards, laptops on 2.5 gb usb3/ ethernet, and Wifi 7) na naona kabisa sijafikia matumizi ya ku exhaust hata 5Gbps let alone 10Gbps.

Unlwss wanatumia 10G ku brand na ku cobfuse watu wasiofuatilia speeds.
 
Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.

China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.

Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.

10Gbps kwa mtu wa kawaida Bongo use case yake ni ipi?
 
Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.

China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.

Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.

Nimeelewa sasa
1748479665288.jpg
ngoja na sisi kilingeni tufanye yetu kuendana na wakati
 
Mkuu Mshana Jr una heshima kubwa fanya uchunguzi juu ya ukweli wa taarifa unazotuletea hapa jukwaani, hakuna 10G hapa duniani.
Asante kwa heshima.. Ndio maana nimeileta hapa ili ukweli ujulikane.. Na nimeiandika Kama kichokoo cha mada.. Wajuvi na wajuzi sasa wafanye kazi yao ukweli ujulikane.. Tuelimike wote mkuu wangu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Nashukuru sana mkuu.
 
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀
NB: Tudadavue uhalisia wa hii habari
View attachment 3349310
nyie endeleeni kutetea ujinga tu na kumsifia mama yenu mtakuja kutawaliwa upya nawaambieni.
 
Back
Top Bottom