China sio nchi iliyoendelea

Ni vingi lakini kimojawapo kikubwa ni GDP per capita. GDP per capita ya China ni ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengi ya Ulaya na America. Ipo chini kuliko hata GDP per capita ya baadhi ya nchi za Africa.
Seychelles na Mauritius Zina GDP per capita kubwa kuliko China. Hat hivyo nchi Zebur GDP per capita kubwa sana duniani ni nchi ndogo dogo za ulaya ambazo uchumi wake unategemea utalii na Kamari tu, na nchi za uarabuni ambazo uchumi wake unategemea mafuta tu.
 
Unalinganisha China kiuchumi na Misri, Algeria ? Hawa ndiyo wasomi wetu na div one ya Kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…