Wawatimulie mbali majahili hao - washenzi kweli na wanapo ona China inakuja juu kiuchumi na kijeshi basi wanabuni mbinu za kuchochea colour revolution kwa kupitia NGO mshenzi na taasisi za kidini,wanataka ya Ukraine yakirudie nchini Uchina - taasisi za kijasusi za Marekani na Uingereza ni watu hatari sana kwa amani ya Dunia wako self centered kweli kweli,wanajifanya wao ndio wenye hata miliki ya kuhamua nani wa kukaa madarakani katika kila Taifa hapa Duniani ili wawalindie maslahi yao.
Mataifa yenye uwezo kijeshi kama China, Urusi,India, Iran,Korea Kasikazini na Ituruki zinapaswa kuwa na jeshi la pamoja kukomesha ufedhuli wa Nchi za magharibi specifically Amerika na Uingereza - leo hii kwa mfano nasikia waasi wa Syria wamekwisha pewa Chlorine gas na Uingereza ikishirikiana na Marekani wamekwisha wapata waigizaji watakao jifanya wamekufa kutokana na mabomu ya sumu yaliyo lipuliwa na jeshi la Asaad - wamewaketa wapiga picha wa MSM wakiongozwa na CNN video zitasambazwa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuonyesha ukatiri wa Asaad,lengo la maagizo yote haya ni kutafuta visingizio vya ndege na makombola ya US,Ufaransa na Uingereza kushambulia majeshi ya Syria nia yao no kutaka kudhoofisha jeshi LA Assad ili waweze kumuondoa madarakani - hata akili za kuona kwamba ushezi wao wa kutaka kuvamia Syria unaweza kufumua WW3 - akili hizo hawana - majivuno tu na kujisikia, hawajui kwamba Mataifa mengi yenye uwezo kijeshi wana usongo nao ili wawakomeshe. - NATO wakiongozwa na kinara wao (USA) wakifanya miscalculation wakashambulia Airbases za jeshi la Urusi nchini Syria wata tandikwa kweli kweli ndege zao kutunguliwa vile vile meli zitakazo husika kurusha Cruise missiles zitazamishwa ili kushikishwa adabu; Warusi si binadamu wa kuchezea no wakimya lakini wanapo sema enough is enough utaona matokea take,ukweli ndio huo - NATO/US wakijitia kutumia silaha za nuklia na wao Mataifa yao yatangamizwa.
Back to the main point kuhusu Uchina na Makanisa - we angalia mleta taarifa hizo anajifanya kutumia jina la kichina kuzuga watu akili! Mleta habari hizo anakili kwamba kumbe yuko based in the USA/makazi yake - taasisi inayo let's propaganda zote hizo makao yake ni huko huko Matekani - hii inaleta picha gani, na akiangalia kwa umakini picha zinaonekana ziko digitally manipulated/photoshopped kuanzia misalaba ilivyo kaa kaa,magari ya kubomolea majengo hivi Wachina wanawezaje kutumia tingatinga la JBC linalo undwa Uingereza wakati Wachina wana ya kwao kibao - njia ya muongo ni fupi sana - hata hilo awakuliona which means picha hizo zimepigwa huko Uingereza au Marekani kuongeza chumvi kwenye propaganda zao. Sikatai kwamba Uchina ina angalia kwa umakini mkubwa sana nyenendo za taasisi za kidini has a za kikikristo for a good reason mentioned above namely usala was Taifa lao - lakini hili la taasisi ya Kimerikani kutujia hapa na picha zenye walakini mkubwa kiufundi zinatia shaka sana - my opinion.