China Shuts Down Christian Churches, Destroys Crosses, Burn Bibles

Hearsay - my foot! Labda nikulize swali dogo: Hivi wewe katika maisha yako umewahi kuishi Mataifa gani zaidi ya TANZANIA!!!

Tangu lini taasisi za Kiislam zikiwa in good books na Serikali za UK au USA - kwa taarifa yako idara za kijasusi za Mataifa tajwa hapo juu haziwezi ku-recruit Muslims katika masuala ya overt na covert operation ndani ya Taifa la China wata anzia wapi, narudia kukumbusha kwamba Chinese Moslems are no threat kwa usalama wa Taifa la China unlike some skewed and unpredictable Christians.h

Ahaaa haaa haaa
n what about that maxim use Muslim to kill another Muslim!!?
 
Tatizo sio kuhitaji mzungu wala mchina tatizo ni kuwa kati ya hao nani anaeuchafua ulimwengu na kuwagawa watu, mbona mnajitoa ufaham nyinyi au hamuoni kuwa mamilioni ya watu wameuwawa kwa sababu ya huyo mnaesema mdemocrasia mkuu, ACHENI UNAFKI JAMANI KUWEN WAKWELI

you are right, hata juzi ICC walipomuambia kuwa tuna andaa charges juu YAKO za uvunjaji wa haki za BINADAMU, ametoa povu balaa. MPAKA anadiriki kusema mahakama hiyo si ya halali.
 
Bro tusiseme unafki lakini ukweli ni lazima utamkwe kwa namna yoyote,Labda nikuulize swali UNAUHAKIKA GANI KWAMBA MCHINA HATAKUJA KUFANYA ANAYOFANYA AU ALIYOFANYA U.S.A?.Nirudi kwenye maada waswahili wanasema Zimwi likujualo halikuli ukakwisha,inshort USA ameshajulikana na ameshajipambanua yeye ni wa namna gani kwahiyo tunamfahamu na yeye anatufahamu lakini mchina hajajipambanua yeye binafsi anataka nini.Labda nikupe mifano

1.Mchina hatambui haki za binadamu,hili halina kupingwa maana ameshajionesha katika nchi alizowekeza mfn ni South Sudan hawa jamaa wamepigana miaka zaidi ya minne lakini mchina hajawahi kusema lolote yeye anachimba mafuta tuu,Njoo bongo hapa leo kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu lakini mchina hasemi neno lolote yeye anadeal na gesi tuu kule mtwara,Hata nchini kwake tuu hakuna uhuru wowote maana mitandao ya kijamii imefungwa hii ni kuwakosea haki watu wako

2.Mchina hajapata nafasi aliyonayo USA nadhani siku akija kupata hiyo power dunia itamtambua lakini hawezi kuja kuipata maana ni shetani anayetembea,Siku nikipata time ntaandika ushetani wa kijamaa na nchi zinazoendeshwa kijamaa na ushetani wake

3.Mchina hana huruma na watu wengine mfno Mwaka jana kaichukua bandari ya Srilanka kwasababu wameshindwa kulipa madeni lakini sijawahi kusikia mmarekani amechukua kitegauchumi cha nchi kisa anaidai,So mchina sio mtu mzuri wakumtegemea.

Kwa hayo machache utakua umepata mwanga wakupima kama mchina analojema lolote kwa waafrika
 
you are right, hata juzi ICC walipomuambia kuwa tuna andaa charges juu YAKO za uvunjaji wa haki za BINADAMU, ametoa povu balaa. MPAKA anadiriki kusema mahakama hiyo si ya halali.
Kwanza marekani hajajiunga na mahakama ya ICC so mahakama ua ICC kuandaa charges juu ya USA ni makosa na ndio maana USA ametoka povu
Lakini niwaulize swali dogo kwani huyo mchina mnaemsifia amejiunga kwenye mahakama ya ICC? je ameacha kunyonga watu nchini kwake? je watu wake wapo huru kumsema na kumchafua Xhi Jingpin kwenye media kama anavyofanywa D.TRUMP?
 
Wamagharibi wanatishwa sana na kasi ya China kiuchumi, na ushawishi inaojijengea hasa katika nchi zetu hizi za Africa...

Wanabaki kupiga propaganda tu.
 
Tena ni tishio kubwa bro, yaani nchi kubwa kama Urusi na China ndio maana zikawa makini, shetani mnyonyaji damu
wapuuzi sana wanajiona kama miungu ila hakuna dola iliyodumu milele hasa ikiwa na dhulma kubwa sana.
 
4.Mchina ni mnyonyaji tena unyonyaji wake ni wakipumbavu kuliko hata ule utumwa wa kiarabu leo mchina anadhulumu haki ya Wazambia kwaajili ya tamaa ya viongozi wachache waliokopa kwaajili ya matumbo yao,nenda Srilanka mchina kachukua bandari kwa zaidi ya miaka 80 ili kufidia madeni anyoidai,Lakini mzungu atakwambia kiasi ulichofikia huwezi kukopesheka mfn Ugiriki alifikia hatua hiyo na akasaidiwa na sahivi anauguza majeraha ya mwisho mwisho.
Waziri wa Fedha wa Zambia ndugu Mwanakatwe...amekanusha hili tarehe 13/09/2018.
 
Waziri wa Fedha wa Zambia ndugu Mwanakatwe...amekanusha hili tarehe 13/09/2018.

Cha ajabu hapa bado kuna Waswahili wanag'ang'ania kuwa nanga Wachina - wanarudia rudia stories za kutunga zinazo sambazwa/enezwa na MSM kwa lengo maalum.

Waziri wa Zambia anasema habari hizo ni za upotoshaji mkubwa i.e Wachina hawana tatizo na Taifa LA Zambia pamoja na Viongozi wake sisi watu baki tuna haki gani ya ku amini media za magharibi as if wanacho andika ni Gospel truth,kisa? Mleta habari ni mzungu!
 
Good job wachina, hizi mbuzi ndo zinaharibu amani ya dunia,

Eti utasikia kipadre fulani kinataka demokrasia ndani ya nchi, kumbe nyuma ya pazia ni jasusi hilo

Walijaribu Congo wakakiona cha moto,

Haiwezekani mtu wa Mungu uingilie mamlaka ya nchi yaliyowekwa na Mungu huyohuyo, hata yesu alisema ya kaisari mwachieni kaisari.
 
Hearsay - my foot! Labda nikulize swali dogo: Hivi wewe katika maisha yako umewahi kuishi Mataifa gani zaidi ya TANZANIA!!!

Tangu lini taasisi za Kiislam zikiwa in good books na Serikali za UK au USA - kwa taarifa yako idara za kijasusi za Mataifa tajwa hapo juu haziwezi ku-recruit Muslims katika masuala ya overt na covert operation ndani ya Taifa la China wata anzia wapi, narudia kukumbusha kwamba Chinese Moslems are no threat kwa usalama wa Taifa la China unlike some skewed and unpredictable Christians.h
Ndugu hili swali lako halina maana yoyote katika huu mjadala.....,

Kuhusu UK or USA kutumia taasisi za kiislam kuingiza mambo yao kushindikana...,hiyo ni dhana.

Libya ni moja ya nchi iliyokuwa na waislam kwa 99.8% lkn Gaddafi aliuwawa baada ya kuchochewa na western countries...

Iraqi ni taifa lililosheheni waislam kwa 100% lkn Saddam aliuwa kifo cha mbwa mwizi...

Hii ni mifano michache ya kuwa kutokuwepo kwa taasisi za kikristo sio kikwazo cha kupata taarifa za kijasusi kwa nchi husika,kuna njia nyingi za kupata taarifa za kijasusi.
 
Christianity imejaa ma spies wa CIA, Scotland yard, FBI nk Usalama wa China unakua threatened, naukuaji wa makinisa katika aridhi yao, kwanini Islam inakua the fastest growing religion ni China na wa china wako kimya kwasababu sio threat kwao economically na security wise.
Wewe mfuasi Wa muddy hukusikia ile habari ya wafuasi Wa muddy huko China kulazimishwa kula nguruwe?, na kuwekwa vizuizini?
 
Back
Top Bottom