China Plans Huge Buses That Can DRIVE OVER Cars (PHOTOS) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China Plans Huge Buses That Can DRIVE OVER Cars (PHOTOS)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Aug 4, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  China may have found an environmentally friendly way to save money while easing congestion on city roads, Engadget reports.

  Instead of spending millions to widen roads, the Shenzhen Huashi Future Parking Equipment company is developing a "3D Express Coach" (also called a "three-dimensional fast bus") that will allow cars less than 2 meters high to travel underneath the upper level carrying passengers.

  China Hush
  , which has nicknamed the project "Straddling Bus" has details:
  The model looks like a subway or light-rail train bestriding the road. It is 4-4.5 m high with two levels: passengers board on the upper level while other vehicles lower than 2 m can go through under. Powered by electricity and solar energy, the bus can speed up to 60 km/h carrying 1200-1400 passengers at a time without blocking other vehicles' way. Also it costs about 500 million yuan to build the bus and a 40-km-long path for it, only 10% of building equivalent subway. It is said that the bus can reduce traffic jams by 20-30%.
  According to Engadget, construction of the first 115 miles of track will begin in Beijing's Mentougou district at the end of 2010.

  Check out the photos of the 3D Express Coach, then tell us what you think.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  Passengers will board the buses at large above-ground loading stations.

  [​IMG]
  The front and rear of the buses will emit ultrasonic waves to keep trucks or too-tall cars from entering the "tunnel." If an oversize vehicle gets too close to the bus, sensors will trigger an alarm.

  [​IMG]


  The interior of the buses will resemble current public transit vehicles like city buses and subway cars. The passengers will enter the vehicles either through sliding side doors or through an internal staircase that leads to a sliding skylight.

  [​IMG]


  Song Youzhou proposed two different types of platforms for the buses: "One is to load/unload through the sides [of the vehicle]; the other is using the built-in ladder so that passengers can go up and to the overpass through the [vehicle's] ceiling door." [via China Hush]

  Source: The Huffington Post
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Damn the DART!!!!!!!!!!!!!!...This should be the solution.....iwekwe hii kitu iwe inazunguka Ubungo-Akiba-Mwenge-Ubungo;Ubungo-Tazara-Akiba-Ubungo;Tazara-Kamata-Mbagala...no need for flyovers and DART
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu hizi ni ndoto za alinacha.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kuliko za JK na flyovers na DART(A Ten year Alinacha-dream)?.....we are told hii kitu ni 10% less than the subway...na the fact that its from the Chinese its posssible why not? Ingekuwa western idea nisinge jaribu kuiota....tusikate tamaa
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Reli ipo toka bandarini mpaka Mabibo mmeshindwa kuitumia ndio unaeza kuanza kuwaza habari za hii midudu ambayo kimsingi inaitwa futuristic buses ?
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Reli ipo mpaka Ubungo kweli...lakini umeiona hali yake kwa sasa?Je foleni iko huko Ubungo tu...tuloshindwa si sisi ni watawala...kwa sababu hawatopanda hiyo treni yako ya ubungo vile wao wanakaa Masaki...tunapaswa kuingalia future kwa hivo hatutoweza kukwepa hizo futuritics
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu kutamani ni kitu kimoja na kutekeleza kitu mpaka kifikie hali ya kutumika ni kitu kingine. Hamna mtu asiyependa kuishi maisha 'katalogi' bana. Suala ni uwezo tu ambao HATUNA. Tusijivungevunge kuukubali ukweli na kuumia roho bure!

  Kama watawala wameshindwa kutumia kilichopo wataweza vp kutumia kitu ambacho bado kipo kwene dhana tu? Kwetu sisi haya mabasi itabakia kuwa ni ndoto ya mchana ya mtu kusafiri kwa kutumia mfagio(sic).
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Labda hauko nyumbani...hawa watawala wetu wako busy na huo mpango wa flyovers amabao hautafanyakazi anyway...uwezo tunao tu..ni prioritizing ndio shida...if we can spend Tshs 7bn kuileta Brazil bila kutoa mahesabu yake huo sio uwezo kaka?
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wachina wanakuna akili jamani big up!
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Muzee,

  Ninaposema uwezo simaanishi uwezo wa kimali. Tz ni nchi tajiri saaaana kimali. Tatizo lipo kwene mechanism ya ku-convert utajiri kwenda kwenye useful social well being. Hapo ndio umaskini wetu ulipo. Umaskini wa fikra duni na mfumo wa 'mimi kwanza'.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kila nchi kuna watu wenye akili, kinachoweka tofauti baina ya wenye akili kutoka kwene nchi tofauti ni nani yupo kilingeni. Kwa Uchina waliopo kilingeni ni watu wenye uoni, ila sisi kilingeni wameketi mazuzu, ndio maana mambo hayaendi.
   
 14. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #14
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi napinga sana kasumba ya kulaumu uongozi. Bongo hatuna wataalam wenye uoni wa hali hiyo. Kwa maneno mengine hata kama Baraza zima la Mawaziri wa china wangekuja Tz na kuichukua nchi kuwaongoza wabongo, hawawezi kutoa vitu vya maana. Kwa hiyo sisi tunaoongozwa ndo mazuzu... ndo maana mambo hayaendi. Wewe ungekuwa madarakani ungefanya nini??? Huu ni umasikini wa fikra na mali tulio nao Afrika.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hapo ndipo tabaka tawala mnapochemsha. Sidhani kama inakatazwa ku-outsource wataalam. Hata Marekani ina-outsource. Hivo bana hilo mnalo. Hakuna pa kukimbilia.
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Naambiwa kuwa wakati tunapata uhuru hawa jamaa tulikuwa sawa kimaendeleo!! WATZ ni watu wa TULIKUWA NAE!
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Dubai makatibu wa wizara majority ni waingereza...sisi ni waTZ na ni wanasiasa
   
 18. T

  Tata JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Kwa huu uzembe na ufisadi wetu hii haiwezekani hapa kwetu. Pia inabidi tuwalambe viboko vikali "ganster drivers" wote bila kujali vyeo vyao ili tuondoe kabisa tabia za kihuni za wanaotanua na kuchmekea ili utaratibu kama huu uweze kufanikiwa hapa kwetu.
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Hili baraza la mawaziri la wachina lingekuja kwanza tungekuwa na kipindi cha misiba na maomboleza kwa sababu wangewalamba risasi watu wengi sana wanaoshiriki kwenye ufisadi. Baada ya hapo wataalam wetu wangeamka na kutumia utaalamu wao kufanya mambo ya kimaendeleo kama haya.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bwe he he he..tru dat, funerals first, oh yeah!
   
Loading...